Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Kwani yeye nani alipitisha ununuzi wa ndege?? /na yeye aachie ngazi

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hili nadhani watu ni kushindwa kufuatlia mambo au ni kushabikia uwongo wa wanasiasa.

Ukweli ni kuwa bajeti zote za ndege zilipitishwa na Bunge; kama huwezi kusoma kufuatilia bajeti hizo niandikiea hapa nikuletee kurasa za bajeti husika. Hii kudai kuwa kanunua ndege bila kupitishwa na Bunge ni uwongo wa wazi kabisa; niliwahi kuelta bajeti za ndege hizo hapa ukumbini siku moja baada ya upotoshaji kuzidi.

Hata ripoti za CAG zilizokuwa zinapotoshwa niliwahi kuzileta hapa kwenye thread mojawapo kuonyesha kuwa tafasiri za wanasiasa hazikuwa sahihi kulingana na ripoti hizo; ripoti moja ilisema 97% ya mahesabu yalikuwa clean, na 3% yalikuwa na hitilafu za kiufundi na hakukuwa na mahesabu yenye mashaka., halafu wajuaji wakakurupuka na uwongo wa trilioni 1.5 ambao ulikuwa wa kupikwa tu.

Ni vivyo hivyo kuwa uwanja wa ndege wa Chato ulipitishwa na bajeti ingawa kwa njia iliyokuwa inapumbaza wabunge wetu ambao sio makini. Watu wakazusha kuwa hela zimechotwa kiholela kujenga Chato lakini siyo kweli kuwa zilichotwa kiholela.

Kulikuwa na bajeti ya kujenga uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita, lakini bajeti haikusema uwanja huo utajengwa sehemu ipi ya mkoa; serikali yake ikaupeleka huko kwao Chato. Kwa hiyo tunaweza kuulizana rationale ya kujenga uwanja huo Chato, lakini siyo kuwa hela zilichotwa kiholela wakati bajeti ilikuwa imeziptisha.
 
HiII SIKUU TUWE TUNAADHIMISHA KILA MWAKA *LUGOLA DAY*
 
Ndio maana tunamuomba Mhs Raisi atupatie katiba mpya, inayo jieleza kazi na wajibu wa kila mmoja serikalini na taasisi mbali mbali.

Asishangae kazi yote aliyofanya ikawa hewa, tuliona juhudi za Hayati Sokoine ziliishia hewani. Katiba nzuri itaelekeza wajibu wa kila mmoja kuanzia Raisi, Wabunge na vyombo vyote vya taifa. Kazi za procurement zifanywe na nani and so on.

Mfano ameuona asingoje kuacha historia wanaomshangilia ndio wasombaji! Ukiwaachia bila udhibiti utasikitika kweli kweli!

Manyangau mkuu ni wengi katiba ndilo jibu la kuwadhibiti kama USA, katiba nzuri italiweka taifa letu mahali pazuri na litaendelea!!
 
Kama sikosei kuna mswada ulipitishwa Bungeni mwaka 2017 wa kuyaondoa majeshi yote toka Utumishi wa Umma, sijui wakapelekwa category gani vile.

Baada ya hatua ile nikajua kada zitakazobaki ndani ya Public Service imekula kwao. Ile move ilikuwa well calculated.
Divide and rule
 
Kuna viti vingi sana huwa hatuvifahamu, ndio maana hawa wateule wakirejeshwa kwenye nafasi nyingine huwa tunashangaa sana na kupiga kelele. Wengine wanatumbuliwa kwa issue za udaku zisizo na ukweli. Si tujifunze hata kutoka kwa akina Simbachamwene. Sio wote wanaotumbuliwa wanakuwa na makosa tunayoyasoma kwenye mitandao.
 
Back
Top Bottom