Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Huenda najua zaidi yako mkuu,
Kwahiyo wao si watumishi wa umma kwasababu wanapewa upendeleo kuliko watumishi wengine ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani watumishi wa umma wote wapo daraja moja? Kuwa mtumishi wa umma hakumaanishi kuwa mko katika level moja.