Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Niliandika uzi humu miezi michache iliyopita kutabiri kutumbuliwa huyu Lugola moderator 1 akaufuta sijui ana undugu na Lugola.
Humu kuna watu mnawapendelea hata wakiandika nini hamfuti
 
johnthebaptist,
Nashauri amalize awamu hii ili ajipange awamu inayofuata. Hawezi kupata matokeo chanya kwa muda huu mfupi uliobaki.
 
Wanaoendelea kuamini eti dua la kuku halimpati mwewe wanyooshe vidole juu
 
Sijui lugola aibu ile ataificha wapi maana alikuwa anajidhalilisha kisa kumfurahisha malaika

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi inatosha tu watu hao kujiuzulu tu?
Au wapinzani na mabeberu wanahusika katika hili?
Bado wengine tingatinga litawapitia maana 2020 waliotumika muda wao umeisha "used and expired" dust bin linahusika...
 
Mambo ya ndani huwa haiachi mawaziri salama.
Kitwanga, Mwigulu,Kangi.
Kwa JK pia iliwagusa Kama watatu hivi.
Mgumu Sana.
 
Msigwa vipi mbona kimya, Kingwa, Kingwa,Kingwa, Kingwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…