Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
johnthebaptist, Watu washakimbilia kwa Sangoma muda huu,wasiwasi wakukosa kiti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutamis mauno yake ya mwendo kasiLugola pamoja na kumsifia Rais leo kafukuzwa hadharani.Ningekuwa Lugola ningeaga nakwenda kuko joa na nasepa mbele kwa mbele.
Leo amejua kwamba matumizi bila kupitishwa na Bunge ni makosa.
Miradi yake ya Chato na ununuzi wa midege ilipitishwa na Bunge la Rwanda?
Ujichagulie na nchi ya kwenda huko huko mbele kwa mbeleLugola pamoja na kumsifia Rais leo kafukuzwa hadharani.Ningekuwa Lugola ningeaga nakwenda kuko joa na nasepa mbele kwa mbele.
Wampe nappeHaya jamani,nani unaona atafaa kuwa waziri wa mambo ya ndani?
vyovyote utavowaza lakini habari ndo hiiKatibu mkuu ndo kajiuzulu.Lugola katumbuliwa.
Hivi inatosha tu watu hao kujiuzulu tu?Sijui lugola aibu ile ataificha wapi maana alikuwa anajidhalilisha kisa kumfurahisha malaika
Sent using Jamii Forums mobile app
sio amejiuzulu amelazimishwa kujiuzulu a.k.a kufurushwa kwa kushindwa kumkamata KIGOGO huku lile dau la bil 2 likiwa limekwisha na KIGOGO hajanyakwa.Wakuu hii nimekutana nayo huko tweetan sijui ni kitu gan kimemsibu mzee kangi lugola.
Source.EATVView attachment 1331654
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya ndani huwa haiachi mawaziri salama.Bashe akikubali hapo sawa.. Ila sijui kama atakubali aiseee.. Angekubali, yaani mambo yangenyooka sana, ila muache Bashe anyooshe wizara ya kilimo kwanza, asiondolewe jamani, wizara ya kilimo ndio roho ya maisha ya wananchi..
Au Mh. Rais afunge macho anipe mm, naapa itanyooka kama ruler wizara nzima.💪🤔