Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu VAPS umekurupushwa kabla hujamaliza kuandika?
Kwamba amenyang'anywa ile ilani ya chama anayotembea nayo mkononi na kwenye majukwaa au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Msikilize mh. RaisKwani yeye nani alipitisha ununuzi wa ndege?? /na yeye aachie ngazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu hii nimekutana nayo huko tweetan sijui ni kitu gan kimemsibu mzee kangi lugola.
Source.EATVView attachment 1331654
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamishna wa Magereza sio Bwana Andengenye, ,Huyu yupo Fire bregade(zimamoto)Kwa ile lugha ya raisi wa wa Tanzania aliyokuwa anaitumia wa waziri wa mambo ya ndani na kamishina wa jeshi la magereza Mr. Andengenye bila wasiwasi wowote wale jamaa weishakanyaga nyaya za tanesco.
Daah! Maskini mzee lugola sasa angekuwa na mke angemliwaza angalau
Lugola na jimbo anapewa musiba mbona njaa itamuua kama hakujipanga
Sent from my iPhone using JamiiForums
Akafanye sasa kazi anayoiweza vizuri, KUKATA UNO!Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani Aandika barua ya Kujiuzulu.
Rais Magufuli akiwa anahutubia wakati wa ufunguzi wa nyumba za Askari Magereza, amesema kwamba..
Nampongeza sana Kamishna Jenerali, Kingu ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani kwa kuwajibika kwamba ametambua. Na nimamuheshimu na nitaendela kumuheshimu
Lugola nampenda sana ni mwanafunzi wangu nilimfundisha Sekondari, hapa umenisifia kwelikweli nakushukuru lakini kwenye hili hapana. Nilijua nisingemkuta hapa, Kamishna Andengenye ni mchapakazi nilitegemea hapa asiwepo hatuwezi tukaendesha nchi kwa misingi ya ajabu.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani nampenda sana lakini kwenye hili la kwenda nje ya nchi unasaini fedha ambazo hazijapitishwa hata na Bunge hapana.
Jamaa (Lugola) alipambana na makamanda wa polisi kweli kweli huku akiwatumbua au kuwahamisha vituo hatimaye leo msumeno umemgeukia.Pamoja na kumsifia Rais,leo Lugola katumbuliwa.
Rais akiwa anafungua makazi ya wanajeshi wa magereza.Katibu mkuu ajiuzulu ila Lugola kaambiwa SASA BASI.
Lugola alikuwa mpole na mdogo kama piriton.
Hivi zile mbwembwe za Kangi Lugola zimeishia wapi?
Siku hizi hasikiki sana sana aisee!
Sent using Jamii Forums mobile app