Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
figganigga, Hivi na hiyo mikataba ya ununuzi wa Madege unapitishwa na Bunge gani?au hii haina mnuso kwa mwenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lugola, hiyo ni karma kwa yale uliomfanyia kamishna wa magereza……………..
Hivi umesahau kuwa, yeye amejichimbia chini zaidi?Hivi na hiyo mikataba ya ununuzi wa Madege unapitishwa na Bunge gani?au hii haina mnuso kwa mwenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfalme yupo juu ya sheria. tunaotakiwa kufuata sharie ni sisi wanyongwaji a.k.a wanyongeHiyo sitting allowance ya $800 mbona hela ya kawaida tu. Nampongeza Rais kwa kuona kuwa katika matumizi lazima bunge lipitishe. Hii ifanyike hata kwa ile miradi anayoipendekeza kama Rais. Sheria msumeno.
Huyu jamaa hata jiwe angetaka mgongo angempa na sijui kama hajaliwa
Umeona hicho kitu?jwtz hagusi kabisa.Rais anawaogopa majenerali wa majeshi jwtz mbona huyo katibu mkuu kamtumbua kwa unyenyekevu?
Rais John Magufuli amesema Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye hawafai kuwa katika nyadhifa hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Lugola was completely misfit for the position.Historia ya mtu ingekuwa inazingatiwa lugola alikuwa hastahili uteuzi huu,alikuwa na kesi ya rushwa,naona huenda hata upstair hayuko hearth
Kutoka maktaba:
Kangi Lugola - "Nikifa Nizikwe na ilani ya CCM"
Source: Ngassa TV