Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Twende kazi.. Tukutane Mwibara kwenye bar yako utukatie mauno.

Screenshot_20200123-123523.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wazi na dhahiri kuwa patatokea mabadiliko ya Baraza la mawaziri soon, je ataondoka Kangi pekee?

Mzee Mgaya ananieleza kuwa huu ni kama mtego wa panya ambapo mawaziri wengine na manaibu Waziri wenye makandokando wanaweza kunaswa.

Ni fursa muhimu kwa Rais Magufuli kuweka kikosi makini cha kumalizia muhula wake wa kwanza.

Muda utaongea.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hiyo sitting allowance ya $800 mbona hela ya kawaida tu. Nampongeza Rais kwa kuona kuwa katika matumizi lazima bunge lipitishe. Hii ifanyike hata kwa ile miradi anayoipendekeza kama Rais. Sheria msumeno.
Mfalme yupo juu ya sheria. tunaotakiwa kufuata sharie ni sisi wanyongwaji a.k.a wanyonge
 
Historia ya mtu ingekuwa inazingatiwa lugola alikuwa hastahili uteuzi huu,alikuwa na kesi ya rushwa,naona huenda hata upstair hayuko hearth
Lugola was completely misfit for the position.

Mwezi uliopita nilikuwa naongea na afisa mmoja, high profile, kwenye vyombo vya usalama, akawa anaeleza jinsi Lugola alivyokuwa anaitumia nafasi yake vibaya ili kujipata fedha ya kumridhisha kimada wake mfuja pesa.

Lakini pia mwaka 2018 niliambiwa na mfanyabiashara mmoja aliyeombwa makumi ya mamilioni kwa matumizi yake binafsi akiahidi kumsaidia ikitokea anapatwa na tatizo.
 
Back
Top Bottom