Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Lugola inamuuma kweli yani kwa kutimuliwa. Mana si kwa Mauno yale aliyokuwa anayaonyesha mbele ya jukwaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asee kweli ni muhimu kuweka akiba maneno usiseme yote.Kutoka maktaba:
Kangi Lugola - "Nikifa Nizikwe na ilani ya CCM"
Source: Ngassa TV
Yaani tunahangaishwa na nida hili jamaa liko busy na mikataba feki, lakini sitangu mwanzo tulisema Hilo jamaa la hovyo?Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani Aandika barua ya Kujiuzulu.
Rais Magufuli akiwa anahutubia wakati wa ufunguzi wa nyumba za Askari Magereza, amesema kwamba..
Nampongeza sana Meja Jenerali, Kingu ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani kwa kuwajibika kwamba ametambua. Na nimamuheshimu na nitaendela kumuheshimu
Lugola nampenda sana ni mwanafunzi wangu nilimfundisha Sekondari, hapa umenisifia kwelikweli nakushukuru lakini kwenye hili hapana. Nilijua nisingemkuta hapa, Kamishna Andengenye ni mchapakazi nilitegemea hapa asiwepo hatuwezi tukaendesha nchi kwa misingi ya ajabu.
"Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani nampenda sana lakini kwenye hili la kwenda nje ya nchi unasaini fedha ambazo hazijapitishwa hata na Bunge hapana".
View attachment 1331681
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akijadiliana mambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola.
Kausha basi.Naona upo kimya wakati huku unajimwaga sana. Ndiyo nini kutesana?
Haya twende kule. Tuwaachie wafia nchi jukwaa lao.Kausha basi.
Alikuwa ameipindua, jembe likawa fimbo ya kuchezea golfMkuu VAPS umekurupushwa kabla hujamaliza kuandika?
Kwamba amenyang'anywa ile ilani ya chama anayotembea nayo mkononi na kwenye majukwaa au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana leo trafik wamechachamaaPolisi walupo watafanya sherehe, aliwanyanyasa sana ma RPC, RTO NK
Sent using Jamii Forums mobile app
Polisi walupo watafanya sherehe, aliwanyanyasa sana ma RPC, RTO NK
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hizi Ashok za polisi Ni aibu,Sherehe watafanya japo hakuwanyanyasa. Huyu bwana aliwanyoosha. Dhamana zikawa 24x7 na matochi barabarani yakawa japo na hekima kidogo.
Kuondoka Lugora ni pigo kwa jitihada dhidi ya dhuluma za polisi.