Rizevu usimsaau @statesmanKwa taarifa ni kwamba kikosi hiko kinaundwa na list hii.
1. Magonjwa mtambuka (goalkeeper)
2. No retreat no salender ( beki).
3.Stroke (beki) .
4.Laki si pesa (beki)
5. Mudawote (mkoba).
6.kawe alumni (kiungo)
7.Digna sowey (wings teleza).
8.Boniphace Kichonge (mchezeshaji).
9.Nyani Ngabu (forward).
10.Johnthebaptist (Captain)
11.KARO MWILAPWA (winga ya kushoto)
Yaani nikitazama chap chap jamaa kaweka kikosi cha pili kabisa, sijui ni kwa makusudi ili timu ikose ushindi ama..?@Wakudadavua YEHODAYA hawamo first eleven?
na yule mwenzie alikua anamalizia neno wallah kila post yake sijui ni isis? nadhan watakuwa wmesha kul shavu mmoj wao hapo ana vinasaba vya mkuu wa mkoa mmoja hivi...,
Ndio maana haya mapumbavu hatuyaoni sana hapa siku hizi...hahahahahaCorona ina koo imemeza Posho za wakina UCD na Magonjwa Mtambuka
Story
Wakudadavua je?Kwa taarifa ni kwamba kikosi hiko kinaundwa na list hii.
1. Magonjwa mtambuka (goalkeeper)
2. No retreat no salender ( beki).
3.Stroke (beki) .
4.Laki si pesa (beki)
5. Mudawote (mkoba).
6.kawe alumni (kiungo)
7.Digna sowey (wings teleza).
8.Boniphace Kichonge (mchezeshaji).
9.Nyani Ngabu (forward).
10.Johnthebaptist (Captain)
11.KARO MWILAPWA (winga ya kushoto)
Hahahaaaaa...........nimecheka sana.Kwa taarifa ni kwamba kikosi hiko kinaundwa na list hii.
1. Magonjwa mtambuka (goalkeeper)
2. No retreat no salender ( beki).
3.Stroke (beki) .
4.Laki si pesa (beki)
5. Mudawote (mkoba).
6.kawe alumni (kiungo)
7.Digna sowey (wings teleza).
8.Boniphace Kichonge (mchezeshaji).
9.Nyani Ngabu (forward).
10.Johnthebaptist (Captain)
11.KARO MWILAPWA (winga ya kushoto)
Kuna Hadi mabuku saba mengine huwa yanamtetea BashiteKawe Alumni amesharudi kijijini kwao Hali imekuwa mbaya...
Hawa wajinga tunawaambia kilasiku wajitahidi kujitetea Kwa kufanya biashara lkn akili zao zimeegemea Kwenye kuwepa uteuzi.wengi wa vijana hawa wameshaolewa huku mtaani
Mzee Tupa , kumbe ni kweli kuna watu wako kibaruani ?!. Mi nilidhani ni dhihaka tu kwa supporter wa Ccm !!Ulipolileta wazo la kuanzisha 'Timu ya Utetezi wa CCM' mitandaoni katika vikao vya kichama ulisifiwa na wazo lako lako likapita. Vijana wakatafutwa na Timu husika ikaundwa ikiwa na jukumu kubwa la kutetea chochote kinachohusu Serikali au CCM au vyote viwili. Timu yetu ya mtandaoni ambayo humu JF imebatizwa jina la Lumumba Buku Saba inafanya vyema kutetea kwa kila uwezo wao. Kiukweli, hakuna jambo ambalo linahusu Serikali hii au CCM ambalo halisifiwi nao. Always, Lumumba Buku Saba wanakufa na tai zao shingoni.
Malipo ya Timu yetu ya Mitandaoni yanaratibiwa na Idara yako ya Uenezi na Itikadi ya CCM iliyopo chini yako Ndugu Humprey Polepole, muasisi wa wazo la timu husika. Pamoja na malalamiko na maombi ya wanatimu kutaka malipo yapandishwe kutoka elfu saba hadi kumi kwa siku, malipo yao yaliyokwishapitishwa kichama ya elfu saba kwa siku yamekuwa yakilipwa. Wanatimu wanajituma pamoja na kuwa ni wachache tu kati yao ndiyo waliowezeshwa kwa kununuliwa simu, tablet na kompyuta.
Malipo ya wanatimu yamesimama kwa muda sasa. Baadhi ya wanatimu wamenza kususa kwa ama kutoandika chochote mitandaoni au kuandika bila jazba, mihemko, hasira na kwa kejeli kama walivyoagizwa. Sababu zinazotolewa kuhusu kuyumba kwa malipo ya wanatimu ni kutokana na ugonjwa wa Corona. Vijana wanataka kujua, Corona imeathirije malipo yao? Ndugu Polepole kumbuka kuwa huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu. Tusiwaudhi wanatimu wa mtandaoni. Tuwallipe na kuwawezesha ili watusaidie.
Tuwe makini na ugonjwa wa Corona kwa kuchukua tahadhari!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha, Tanzania)
Ulipolileta wazo la kuanzisha 'Timu ya Utetezi wa CCM' mitandaoni katika vikao vya kichama ulisifiwa na wazo lako lako likapita. Vijana wakatafutwa na Timu husika ikaundwa ikiwa na jukumu kubwa la kutetea chochote kinachohusu Serikali au CCM au vyote viwili. Timu yetu ya mtandaoni ambayo humu JF imebatizwa jina la Lumumba Buku Saba inafanya vyema kutetea kwa kila uwezo wao. Kiukweli, hakuna jambo ambalo linahusu Serikali hii au CCM ambalo halisifiwi nao. Always, Lumumba Buku Saba wanakufa na tai zao shingoni.
Malipo ya Timu yetu ya Mitandaoni yanaratibiwa na Idara yako ya Uenezi na Itikadi ya CCM iliyopo chini yako Ndugu Humprey Polepole, muasisi wa wazo la timu husika. Pamoja na malalamiko na maombi ya wanatimu kutaka malipo yapandishwe kutoka elfu saba hadi kumi kwa siku, malipo yao yaliyokwishapitishwa kichama ya elfu saba kwa siku yamekuwa yakilipwa. Wanatimu wanajituma pamoja na kuwa ni wachache tu kati yao ndiyo waliowezeshwa kwa kununuliwa simu, tablet na kompyuta.
Malipo ya wanatimu yamesimama kwa muda sasa. Baadhi ya wanatimu wamenza kususa kwa ama kutoandika chochote mitandaoni au kuandika bila jazba, mihemko, hasira na kwa kejeli kama walivyoagizwa. Sababu zinazotolewa kuhusu kuyumba kwa malipo ya wanatimu ni kutokana na ugonjwa wa Corona. Vijana wanataka kujua, Corona imeathirije malipo yao? Ndugu Polepole kumbuka kuwa huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu. Tusiwaudhi wanatimu wa mtandaoni. Tuwallipe na kuwawezesha ili watusaidie.
Tuwe makini na ugonjwa wa Corona kwa kuchukua tahadhari!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha, Tanzania)
Huwezi kuelewa kwa sababu wewe ni mmojawapo ya wanaoongelewa kwenye huu uzi. Akili hamna.Sijaelewa
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787].Kwa taarifa ni kwamba kikosi hiko kinaundwa na list hii.
1. Magonjwa mtambuka (goalkeeper)
2. No retreat no salender ( beki).
3.Stroke (beki) .
4.Laki si pesa (beki)
5. Mudawote (mkoba).
6.kawe alumni (kiungo)
7.Digna sowey (wings teleza).
8.Boniphace Kichonge (mchezeshaji).
9.Nyani Ngabu (forward).
10.Johnthebaptist (Captain)
11.KARO MWILAPWA (winga ya kushoto)
Pia Ruttashobolwa naye anapaswa kuwa sub hapo!Wakudadavua je?
Ila nyie mnapiga risasi !! [emoji40]Hahahaaaaa...........nimecheka sana.
Siasa ni sayansi.
Siasa siyo uadui
Maendeleo hayana vyama!
Wewe nawe, naumri wote huo bado unapost mada za kijinga!? au kuna mtu ametumia account yako?Corona bado anacheza Ufipa, Lumumba haujafika bado.
Mwenyekiti wa maisha, Mbowe, tunafahamu kaikimbia ofisi anaugulia Corona Dodoma.
Vipi hali yake?
Wachagga hamchelewi!
Usiogope risasi ogopa Corona!Ila nyie mnapiga risasi !! [emoji40]
Odhis *
Poleni sana. Ila fungeni mikanda . Corona mapitoUsiogope risasi ogopa Corona!