Katibu Mwenezi Polepole, malipo ya 'Lumumba Buku 7' yameathiriwaje na Corona?

Tanzania hii kuna wezi na mafisadi zaidi ya wachagga?

Hivi Alex Masawe tuko wapi?
Kweli wewe mtu unashangilia wizi na ufisadi unaofanyika nchini? Kweli wewe unamjua Mola? Wewe unatakiwa kutubu kabisa, haiwezekana ushangilie maovu na ushetani
 
Hivi Alex Masawe yuko wapi?
 
Tanzania hii kuna wezi na mafisadi zaidi ya wachagga?

Hivi Alex Masawe tuko wapi?
Endelea kushangilia Maovu ili kutafuta sifa za Kijinga na kujiaibisha bure! Umeuvua ubinadamu na kuungana na Shetani kuumiza raia wasio kuwa hatia
 
Kawe Alumni amesharudi kijijini kwao Hali imekuwa mbaya...
Hawa wajinga tunawaambia kilasiku wajitahidi kujitetea Kwa kufanya biashara lkn akili zao zimeegemea Kwenye kuwepa uteuzi.wengi wa vijana hawa wameshaolewa huku mtaani
Hata ukiangalia mambo wanayoandika humu na hoja wanazotoa bado hiyo buku saba ni nyingi Sana.

Wapewe angalau buku tano kwa siku ila wakati wa kampeni ndio wapewe buku Saba.
 
Kuna zile sub..retired players. Sasa ni makocha wachezaji cc lizaboni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mjane mweusi ana ukimwi naona umefika kwenye ubongo wake, na aliyemuambukiza ni Chakubanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…