Katibu Mwenezi Polepole, malipo ya 'Lumumba Buku 7' yameathiriwaje na Corona?

Nnaona Waswahili wa kuja neno "kunanga' mmeshalibadili maana.

Corona bado anacheza Ufipa, Lumumba haujafika bado.

Mwenyekiti wa maisha, Mbowe, tunafahamu kaikimbia ofisi anaugulia Corona Dodoma.

Vipi hali yake?

Wachagga hamchelewi!
Una akili ndogo japo umezeeka.
 
FaizaFoxy said:
Corona bado anacheza Ufipa, Lumumba haujafika bado.

Mwenyekiti wa maisha, Mbowe, tunafahamu kaikimbia ofisi anaugulia Corona Dodoma.

Vipi hali yake?

Wachagga hamchelewi!
Hivi ni kwanini mtu mature kama wewe unatekwa na siasa za ukabila ?!.
Hivi Cdm ingekuwa ya wachaga tu, ingewasumbua kichwa Ccm ?!.

Cdm imeungwa mkono na kupigiwa kura nchi nzima , tena bila mkono wa chuma ndiyo uwasimange wachaga ?!

Odhis *
 
Teh teh teh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hii comment imenivunja mbavu aisee
haaaa haaaa haaaa 😃 😃😃 😃! yaani unaajiriwa ili umtukane mtu (watu) asiyekufahamu wala hana muda na wewe, huko ni kukosa akili !! teh teh teh 🤣🤣🤣🤣
 
Hivi ni kwa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nimemkumbuka Malariasugu, ni kipindi jukwaa hili huchangii bila kupitia nondo kwanza.
 
Malipo ya wanatimu yamesimama kwa muda sasa. Baadhi ya wanatimu wamenza kususa kwa ama kutoandika chochote mitandaoni au kuandika bila jazba, mihemko, hasira na kwa kejeli kama walivyoagizwa.
Je, kuna uhusiano wowote kuhusu taarifa hii na ile inayomhusu mwanaJF anayejieleza 'kustaafu JF' ambayo ipo kwenye ukumbi huu?
Nimesoma tu kichwa cha habari ya taarifa hiyo, sijaangalia aliyoeleza ndani ya taarifa yenyewe!
 
Kuna jambo unalitafuta naona
Vumilieni tu, mtalipwa baada ya janga la corona kupita. Katika fedha za misaada za kupambana na corona watamega kiasi fulani kwa ajili ya malipo yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…