Katibu Mwenezi Polepole, malipo ya 'Lumumba Buku 7' yameathiriwaje na Corona?

Katibu Mwenezi Polepole, malipo ya 'Lumumba Buku 7' yameathiriwaje na Corona?

Usiseme uongo eti inapendwa nchi zima sema inapendwa na wezi (wachaga) na baadhi ya misukule (wachache wasio wachaga a.k.a wezi)

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mnajifanya mnapendwa sana na huyu uchwara wenu mngeua mwanafunzi pale Kinondoni. Mmelaaniwa kabisa. Ubunge tu mnamwaga damu ya mwanafunzi halafu mnawapa kesi wengine na kuwaacha waliofyatua risasi.
 
Ikiwezekane afe tu ili nyie misukule muachwe free akili zenu zirudi mmekuwa misukule original hamjielewi mnapelekwa pelekwa mna tukana watu hovyo hovyo mnaropoka ropoka mnatia aibu nyie madada wa ufipa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huyo Kibudu mbona hamumuweki kwenye karantini kama wale wengine!?
 
Back
Top Bottom