TANZIA Katibu Tawala Arusha, Bw. Richard Kwitega afariki Dunia

Nikiwa kama mhanga wa ajali zinazosababishwa na magari ya serikali.

mwaka 2012 pale junction ya kwenda ITV, niko navuka kwenye zebra, STK 232 nyeupe ikanigonga, ikiwa inatokea mwenge. Nyuma yake kulikua na gari 3 zimekaa foleni kusubiri nivuke, yeye akatanua akaja kunivaa paaaap!

Bahati yangu Mungu aliniokoa maana jamaa alikuja kufunga break karibu kabisa na kichwa changu.

Nikainuka kurudi upande nlipokua. Dereva yule alisepa fasta hakusimama wala kuonesha kujali.

Wito: Maereva wazembe wawajibishwe kwasababu hakuna aliye juu ya sheria.
 
Duh ! Pole sana.
 
Na bado huo ujinga wa maonyesho umekukaa kichwani,achana na stori za 28 october.
Fanya mambo mengine unayoona sio ujinga wa maonyesho.

Kama tunaongelea vita vya Uganda mpaka, itakuwa uchaguzi wa juzi?
 
Viongozi na watumishi wa serikali ni wahanga wakubwa wa vifo/ulemavu uletwao na ajali...

Sijui chanzo ni nini? Mwendokasi au juju
Mwendo madereva wa serikali na taasisi mbalimbali za umma popote unapopishana nao ni wa kiburi na ulijaa kutojali kwa sheria na usalama barabarani.

Kimsingi mwendo wao unasadifu yanayotokea.

Bwana ametoa na Mwana Ametwaa Jina la Bwana Lihimidiwe.
 
Halafu gari kama V8, Prado, Nissan Extrail, Safari, Patroo nk zina mbio na tulivu sana barabarani.

Sasa ukute umefunga vioo tena, hapo unaweza ukawa mwendo wa hatari na usijue.

Cha msingi dereva anatakiwa awe makini na kufuata kanuni za usalama.
... kivipi wakati dashboard inakuonesha kila kitu? Mshale wa speed unaitafuta 180 halafu usijue/usione utakuwa sio dereva. At that speed hakiwezi kutokea chochote ghafla barabarani kwa barabara zetu usisababishe madhara makubwa.
 
Salaam Wakuu,

Habari Mbaya ni kwamba Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw.Richard Kwitega amefariki Dunia kutokana na ajali.

Richard Kwitega kafariki alasiri ya leo kwa ajali ya gari katika kituo cha afya cha Magugu. Alikuwa anaenda Dodoma Kikazi, alipofika maeneo ya Mdori Manyara gari lake iligongana na Basi la Makala uso kwa uso, basi lilikuwa linalotoka Babati.

Baada ya ajali akakimbizwa kituo cha afya cha Magugu ili baadaye apelekwe Babati kwa matibabu zaidi.

Ilipofika saa tisa na dakika 50 akafariki Dunia. Mipango inafanyika ya kuurudisha mwili Arusha.

Apumzike kwa amani.
R.I.P.. Picha inaonyesha basi limegongwa kishoto, hiyo ni dalili kuwa mwenye basi alikiwa upande wa gari ndogo na mwishoni aliamua kukwepa kjlia ila muda haukuwa rafiki.
 
... kivipi wakati dashboard inakuonesha kila kitu? Mshale wa speed unaitafuta 180 halafu usijue/usione utakuwa sio dereva. At that speed hakiwezi kutokea chochote ghafla barabarani kwa barabara zetu usisababishe madhara makubwa.

Sawa
 
Kila siku huwa nasema madereva wa mahari ya serikali hawana akili. Wanadhani mtu aliyegundua kuwa gari ili ipishwe inahitaji kutoa taarifa ya suti(siren) na taa pia(vimulimuli) wao wakishafunga vimulimuli kwa dicksound wanajiona wana haki ya kupishwa wananyoosha mguu tu

Sasa ukute sehem pazuri naweza kuitoa kidogo yangu. Kama pabaya tunakutanisha vyuma tu halafu tunaomba Mungu
 
Nikiwa kama mhanga wa ajali zinazosababishwa na magari ya serikali.

mwaka 2012 pale junction ya kwenda ITV, niko navuka kwenye zebra, STK 232 nyeupe ikanigonga, ikiwa inatokea mwenge. Nyuma yake kulikua na gari 3 zimekaa foleni kusubiri nivuke, yeye akatanua akaja kunivaa paaaap!

Bahati yangu Mungu aliniokoa maana jamaa alikuja kufunga break karibu kabisa na kichwa changu.

Nikainuka kurudi upande nlipokua. Dereva yule alisepa fasta hakusimama wala kuonesha kujali.

Wito: Maereva wazembe wawajibishwe kwasababu hakuna aliye juu ya sheria.
Magari ya serikali yanaongoza katika ukiukwaji wa sheria za usalama barabarani, na askari wa usalama barabarani kama hawaoni vile.
 
kuna sheria na vifungu vinawabana. ila havifuatwi.
unakuta kiongozi anamwambia wahi mkoa fulani kuna kikao cha haraka. ndio hiyo kimbiza kimbiza. kiongozi haogopi hata mwendo. wengine huwa wanawaambia madereva wao wapunguze mwendo.
Lipo tatizo kubwa mahali...Kwanza trafick polisi huwa hawayakamati magari ya serikali....madereva wengi wanna jeuri, kiburi, dharau kwa madereva wengine...wakiwa barabarani madereva wengi wa serikali huona kuwa barabara hizo ni zao peke yao...halafu hawana uchungu na magari wanayoendesha..hawajui kuwa magari hayo ya serikali ni yet sote...
 
Salaam Wakuu,

Habari Mbaya ni kwamba Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw.Richard Kwitega amefariki Dunia kutokana na ajali.

Richard Kwitega kafariki alasiri ya leo kwa ajali ya gari katika kituo cha afya cha Magugu. Alikuwa anaenda Dodoma Kikazi, alipofika maeneo ya Mdori Manyara gari lake iligongana na Basi la Makala uso kwa uso, basi lilikuwa linalotoka Babati.

Baada ya ajali akakimbizwa kituo cha afya cha Magugu ili baadaye apelekwe Babati kwa matibabu zaidi.

Ilipofika saa tisa na dakika 50 akafariki Dunia. Mipango inafanyika ya kuurudisha mwili Arusha.

Apumzike kwa amani.
 
Salaam Wakuu,

Habari Mbaya ni kwamba Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw.Richard Kwitega amefariki Dunia kutokana na ajali.

Richard Kwitega kafariki alasiri ya leo kwa ajali ya gari katika kituo cha afya cha Magugu. Alikuwa anaenda Dodoma Kikazi, alipofika maeneo ya Mdori Manyara gari lake iligongana na Basi la Makala uso kwa uso, basi lilikuwa linalotoka Babati.

Baada ya ajali akakimbizwa kituo cha afya cha Magugu ili baadaye apelekwe Babati kwa matibabu zaidi.

Ilipofika saa tisa na dakika 50 akafariki Dunia. Mipango inafanyika ya kuurudisha mwili Arusha.

Apumzike kwa amani.
Madereva siku zote wanakwepesha upande wao. Gari imeharibika upande wa RAS.
 
Poleni wafiwa. Ni wiki kama mbili hivi nilienda ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha nikalikuta hilo li V8 limepaki kwenye private parking ya RAS japo yeye binafsi sikumwona. Dah kweli tulikuja bila kitu na tutaondoka bila kitu.
 
Tunarudi na dhambi.....
nadhani umesahau hilo
 
Back
Top Bottom