Duh ! Pole sana.Nikiwa kama mhanga wa ajali zinazosababishwa na magari ya serikali.
mwaka 2012 pale junction ya kwenda ITV, niko navuka kwenye zebra, STK 232 nyeupe ikanigonga, ikiwa inatokea mwenge. Nyuma yake kulikua na gari 3 zimekaa foleni kusubiri nivuke, yeye akatanua akaja kunivaa paaaap!
Bahati yangu Mungu aliniokoa maana jamaa alikuja kufunga break karibu kabisa na kichwa changu.
Nikainuka kurudi upande nlipokua. Dereva yule alisepa fasta hakusimama wala kuonesha kujali.
Wito: Maereva wazembe wawajibishwe kwasababu hakuna aliye juu ya sheria.
Na bado huo ujinga wa maonyesho umekukaa kichwani,achana na stori za 28 october.
Fanya mambo mengine unayoona sio ujinga wa maonyesho.
Mwendo madereva wa serikali na taasisi mbalimbali za umma popote unapopishana nao ni wa kiburi na ulijaa kutojali kwa sheria na usalama barabarani.Viongozi na watumishi wa serikali ni wahanga wakubwa wa vifo/ulemavu uletwao na ajali...
Sijui chanzo ni nini? Mwendokasi au juju
Aaagh! Imeisha hiyoo.....Kama tunaongelea vita vya Uganda mpaka, itakuwa uchaguzi wa juzi?
Utazoea tu.Aaagh! Imeisha hiyoo.....
Naogopa kutangulia tu maana kifo hakikwepekiKwa hiyo we unaogopa kufa?
... kivipi wakati dashboard inakuonesha kila kitu? Mshale wa speed unaitafuta 180 halafu usijue/usione utakuwa sio dereva. At that speed hakiwezi kutokea chochote ghafla barabarani kwa barabara zetu usisababishe madhara makubwa.Halafu gari kama V8, Prado, Nissan Extrail, Safari, Patroo nk zina mbio na tulivu sana barabarani.
Sasa ukute umefunga vioo tena, hapo unaweza ukawa mwendo wa hatari na usijue.
Cha msingi dereva anatakiwa awe makini na kufuata kanuni za usalama.
chanzo vyote ulivyovitaja,,,,,Viongozi na watumishi wa serikali ni wahanga wakubwa wa vifo/ulemavu uletwao na ajali...
Sijui chanzo ni nini? Mwendokasi au juju
R.I.P.. Picha inaonyesha basi limegongwa kishoto, hiyo ni dalili kuwa mwenye basi alikiwa upande wa gari ndogo na mwishoni aliamua kukwepa kjlia ila muda haukuwa rafiki.Salaam Wakuu,
Habari Mbaya ni kwamba Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw.Richard Kwitega amefariki Dunia kutokana na ajali.
Richard Kwitega kafariki alasiri ya leo kwa ajali ya gari katika kituo cha afya cha Magugu. Alikuwa anaenda Dodoma Kikazi, alipofika maeneo ya Mdori Manyara gari lake iligongana na Basi la Makala uso kwa uso, basi lilikuwa linalotoka Babati.
Baada ya ajali akakimbizwa kituo cha afya cha Magugu ili baadaye apelekwe Babati kwa matibabu zaidi.
Ilipofika saa tisa na dakika 50 akafariki Dunia. Mipango inafanyika ya kuurudisha mwili Arusha.
Apumzike kwa amani.
... kivipi wakati dashboard inakuonesha kila kitu? Mshale wa speed unaitafuta 180 halafu usijue/usione utakuwa sio dereva. At that speed hakiwezi kutokea chochote ghafla barabarani kwa barabara zetu usisababishe madhara makubwa.
Magari ya serikali yanaongoza katika ukiukwaji wa sheria za usalama barabarani, na askari wa usalama barabarani kama hawaoni vile.Nikiwa kama mhanga wa ajali zinazosababishwa na magari ya serikali.
mwaka 2012 pale junction ya kwenda ITV, niko navuka kwenye zebra, STK 232 nyeupe ikanigonga, ikiwa inatokea mwenge. Nyuma yake kulikua na gari 3 zimekaa foleni kusubiri nivuke, yeye akatanua akaja kunivaa paaaap!
Bahati yangu Mungu aliniokoa maana jamaa alikuja kufunga break karibu kabisa na kichwa changu.
Nikainuka kurudi upande nlipokua. Dereva yule alisepa fasta hakusimama wala kuonesha kujali.
Wito: Maereva wazembe wawajibishwe kwasababu hakuna aliye juu ya sheria.
Lipo tatizo kubwa mahali...Kwanza trafick polisi huwa hawayakamati magari ya serikali....madereva wengi wanna jeuri, kiburi, dharau kwa madereva wengine...wakiwa barabarani madereva wengi wa serikali huona kuwa barabara hizo ni zao peke yao...halafu hawana uchungu na magari wanayoendesha..hawajui kuwa magari hayo ya serikali ni yet sote...kuna sheria na vifungu vinawabana. ila havifuatwi.
unakuta kiongozi anamwambia wahi mkoa fulani kuna kikao cha haraka. ndio hiyo kimbiza kimbiza. kiongozi haogopi hata mwendo. wengine huwa wanawaambia madereva wao wapunguze mwendo.
Salaam Wakuu,
Habari Mbaya ni kwamba Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw.Richard Kwitega amefariki Dunia kutokana na ajali.
Richard Kwitega kafariki alasiri ya leo kwa ajali ya gari katika kituo cha afya cha Magugu. Alikuwa anaenda Dodoma Kikazi, alipofika maeneo ya Mdori Manyara gari lake iligongana na Basi la Makala uso kwa uso, basi lilikuwa linalotoka Babati.
Baada ya ajali akakimbizwa kituo cha afya cha Magugu ili baadaye apelekwe Babati kwa matibabu zaidi.
Ilipofika saa tisa na dakika 50 akafariki Dunia. Mipango inafanyika ya kuurudisha mwili Arusha.
Apumzike kwa amani.
Madereva siku zote wanakwepesha upande wao. Gari imeharibika upande wa RAS.Salaam Wakuu,
Habari Mbaya ni kwamba Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw.Richard Kwitega amefariki Dunia kutokana na ajali.
Richard Kwitega kafariki alasiri ya leo kwa ajali ya gari katika kituo cha afya cha Magugu. Alikuwa anaenda Dodoma Kikazi, alipofika maeneo ya Mdori Manyara gari lake iligongana na Basi la Makala uso kwa uso, basi lilikuwa linalotoka Babati.
Baada ya ajali akakimbizwa kituo cha afya cha Magugu ili baadaye apelekwe Babati kwa matibabu zaidi.
Ilipofika saa tisa na dakika 50 akafariki Dunia. Mipango inafanyika ya kuurudisha mwili Arusha.
Apumzike kwa amani.
Ulilile malafyale!
Tunarudi na dhambi.....Poleni wafiwa. Ni wiki kama mbili hivi nilienda ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha nikalikuta hilo li V8 limepaki kwenye private parking ya RAS japo yeye binafsi sikumwona. Dah kweli tulikuja bila kitu na tutaondoka bila kitu.