Trillion
JF-Expert Member
- Apr 24, 2018
- 3,330
- 7,494
Hawafagi hawa atarudi kwenye uchaguzi ujao awe mgawa form kwa upinzani..Ni hasara kwake kufia kwa kayafa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawafagi hawa atarudi kwenye uchaguzi ujao awe mgawa form kwa upinzani..Ni hasara kwake kufia kwa kayafa!!
Je naye alishiriki kudhulumu uchaguzi Mkuu wa 2020 kwa kutumia ofisi yake ya RAS Arusha? Kama hakushiriki basi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.Salaam Wakuu,
Habari Mbaya ni kwamba Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw.Richard Kwitega amefariki Dunia kutokana na ajali.
View attachment 1693548
Richati kwitega kafariki alasiri ya leo kwa ajali ya gari katika kituo cha afya cha Magugu. Richard alikuwa anaenda Dodoma Kikazi, alipofika maeneo ya Mdori Manyara gari lake iligongana na Basi la Makala uso kwa uso, Basi lilikuwa linalotoka babati.
Baada ya ajali akakimbizwa kituo cha afya cha Magugu ili baadaye apelekwe Babati kwa matibabu zaidi.
Ilipofika saa tisa na dakika 50 akafariki Dunia. Sasa mipango inafanyika ya kuurudisha mwili Arusha.
Apumzike kwa amani
View attachment 1693560View attachment 1693561View attachment 1693562
View attachment 1693569View attachment 1693570
kuna RAS ambaye hajashiriki haya mambo?Je naye alishiriki kudhulumu uchaguzi Mkuu wa 2020 kwa kutumia ofisi yake ya RAS Arusha? Kama hakushiriki basi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.
Kama alishiriki ....
Inaonekana dereva aliovertake akashindwa kurudi haraka kwenye site yake, akajaribu kutoka nje ya barabara ikawa too late,Habari Mbaya ni kwamba Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw.Richard Kwitega amefariki Dunia kutokana na ajali.
Mwendo Kasi tu.acha wafe tu maana kutana nao kwenye Kh 50 wao wanapita Kwa mwendo wa zaidi ya speed 120. Kuna siku mpumbavu mmoja na gari ya serikali aliuwa kwenye kibao cha spidi 50 akiwa na spidi Kali toka siku hiyo sinaga huruma na hao watu.Viongozi na watumishi wa serikali ni wahanga wakubwa wa vifo/ulemavu uletwao na ajali...
Sijui chanzo ni nini? Mwendokasi au juju
Yanafurahiaga yanajua ni fursaNikitoa comment yangu original hapa mataga walivyo sensitive vitaanza ku-catch feelings
Wanakimbiaga.mno bila tahadhari kisa STK
Hii ndio wanayoitafuta hapi hakuna PT wakumtambia "unajua mimi ni nani"
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wanakimbia sana AiseeViongozi na watumishi wa serikali ni wahanga wakubwa wa vifo/ulemavu uletwao na ajali...
Sijui chanzo ni nini? Mwendokasi au juju
Viongozi na watumishi wa serikali ni wahanga wakubwa wa vifo/ulemavu uletwao na ajali...
Sijui chanzo ni nini? Mwendokasi au juju