Asante sana mwaya na wewe piaR I p
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mwaya na wewe piaR I p
Kweli, kifo hata jambazi aliye kuibia lazma huruma ukuingie, MATAGA peke yao ndio hawana huruma , JANA walisema MARIA SARUNGI KAFA KWA KORONA, yaani.Acheni akili za kitoto na kipuuzi,kifo hakichagui.
Shida ni VX V8!Viongozi na watumishi wa serikali ni wahanga wakubwa wa vifo/ulemavu uletwao na ajali...
Sijui chanzo ni nini? Mwendokasi au juju
Labda alikuwa mtu poa kwenye pub akiwa na maCCM wenzake lakini ofisini alikuwa shetani kama mashetani vijana wote wa Magufuli wanaogeuza ofisi za Serikali kuwa vijiwe vya kunyanyasa wanyonge badala ya kuwasaidia. Good riddance, Mhanga!namfahamu nilikuwa namuona pub fulani somewhere, alikuwa anaonekana kama mtu poa
Hii serekali ni mwendo wa ma VieiteKatibu Tawala wa Mkoa anatembelea Kilimo kwanza la namna hilo?
Mwee Ndagha mwee!
Kuna siku barabara bagamayo kuitafuta msata matipwili pale ilinipita v8 huku mm nko na nisan patrol ilinipita kma nmesimama [emoji23][emoji23][emoji23]Shida ni VX V8!
Zinakupa mzuka unajiona invincible!Kuna siku barabara bagamayo kuitafuta msata matipwili pale ilinipita v8 huku mm nko na nisan patrol ilinipita kma nmesimama [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi gari zinakpa mzuka wa kwenda speed tatizo
Ova
Asante. Hapo wamekutana wasiofata sheria za barabarani (stk, mabasi)! Natamani kusema "wacha wafe tu" lakini nikifikiria athari kwa familia nk, naona huruma sana. Kuna wasio na hatia kadhaa hapo wameathirika na wataathirika na ajali hiyo.Apumzike kwa Amani. Ila madereva wa serikali na hizo overtake zenu hapana. Sasa ukichanganya na overtake za mabasi inakuwa si hali. Hata kama mnaendesha magari ya serikali (au hata mabasi) jueni ajali haichagui uimara wa gari au status ya gari-nashangaa hata hamuofii maisha yenu wenyewe mnovyo overtake! Chonde chonde fuateni sheria kama sisi raia na muache mchezo wa kuwasha mataa yenu na kupita kwenye 50 kph na hizo 120+kph. Ajali inaweza kumpata mtu yeyote ila kuna anayejiweka katika nafasi hatarishi zaidi kupata ajali kwa kuvunja sheria za barabarani kwa ubabe tu. Sasa baba wa watu kapoteza maisha hivi hivi, inauma. Poleni familia ndugu jamaa na marafiki.
Akili matope hizi! Kwahiyo hapo Lisu atarudi kuwa rais?Mkuu toa tu Mataga hawana maana, uchaguzi juzi watu wamemwaga damu ili wakae madarakani na wanajisifia wameshinda kwa kishindo. Mwaga sumu maana hawana utu wowote wa kuwabembeleza.
Na trafficks wanawaacha tu madereva wa serikali,jmosi nilitokea arusha njia hiyo hiyo to dodoma,niko mbele magari ya serikali tuko sambamba mawili nyuma yangu speed tu ya 64 nikasimamishwa wao wakaachwa!nikamuuliza traffick kama ni makosa huoni wote tuna makosa why wao umewaacha?akabaki tu anatoa macho na kuniambia nenda.Mwendo wa madereva wa serikali ni tatizo. Hawafuati sheria za barabarani kabisa. Tuna waona huku barabarani mwendo wao.
Kama wataendelea hivi tutegemee ajaili za viongozi mara kwa mara
Daah! Pole Sana mkuu, umefika mbaali Sana kakaMaisha hayana maana kabisa na tunahangaika bure tu kutafuta hela na maisha mazuri.
Ya kweli haya mkuu?Maisha hayana maana kabisa na tunahangaika bure tu kutafuta hela na maisha mazuri.