TANZIA Katibu Tawala Arusha, Bw. Richard Kwitega afariki Dunia

Just looking at the aftermath, you can agree with me that Tanzania has a problem with speed driving. This is the right time for the Ministry of Transport to install speed cameras in the network asap.

RIP.
 
namfahamu nilikuwa namuona pub fulani somewhere, alikuwa anaonekana kama mtu poa
Labda alikuwa mtu poa kwenye pub akiwa na maCCM wenzake lakini ofisini alikuwa shetani kama mashetani vijana wote wa Magufuli wanaogeuza ofisi za Serikali kuwa vijiwe vya kunyanyasa wanyonge badala ya kuwasaidia. Good riddance, Mhanga!
 
Kuna siku barabara bagamayo kuitafuta msata matipwili pale ilinipita v8 huku mm nko na nisan patrol ilinipita kma nmesimama [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi gari zinakpa mzuka wa kwenda speed tatizo

Ova
Zinakupa mzuka unajiona invincible!
 
Asante. Hapo wamekutana wasiofata sheria za barabarani (stk, mabasi)! Natamani kusema "wacha wafe tu" lakini nikifikiria athari kwa familia nk, naona huruma sana. Kuna wasio na hatia kadhaa hapo wameathirika na wataathirika na ajali hiyo.

Pole kwa wote.
 
Mkuu toa tu Mataga hawana maana, uchaguzi juzi watu wamemwaga damu ili wakae madarakani na wanajisifia wameshinda kwa kishindo. Mwaga sumu maana hawana utu wowote wa kuwabembeleza.
Akili matope hizi! Kwahiyo hapo Lisu atarudi kuwa rais?
 
Na Traff8ck
Mwendo wa madereva wa serikali ni tatizo. Hawafuati sheria za barabarani kabisa. Tuna waona huku barabarani mwendo wao.
Kama wataendelea hivi tutegemee ajaili za viongozi mara kwa mara
Na trafficks wanawaacha tu madereva wa serikali,jmosi nilitokea arusha njia hiyo hiyo to dodoma,niko mbele magari ya serikali tuko sambamba mawili nyuma yangu speed tu ya 64 nikasimamishwa wao wakaachwa!nikamuuliza traffick kama ni makosa huoni wote tuna makosa why wao umewaacha?akabaki tu anatoa macho na kuniambia nenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…