TANZIA Katibu Tawala Arusha, Bw. Richard Kwitega afariki Dunia

TANZIA Katibu Tawala Arusha, Bw. Richard Kwitega afariki Dunia

Kwenye basi kumbuka lipo juu,v8 imezama uvunguni mwa bus la Makara,hapo kwa bus walikua na majeraha madogo madogo.V8 imezama upande wa mbele
 
Nchi hii ina miaka 60 na wananchi wanaokaribia 60m, katika idadi hiyo na miaka hiyo, ni watu watano tu wamefanikiwa kuwa marais wa nchi hii. Hivyo hata Tundu Lisu asipokuwa rais sio tatizo kwani nafasi hiyo ni kama bahati nasibu. Hata hivyo sijajua hoja yako ilikuwa ni nini kwenye post hii.
Sasa mbona unajitoa akili na kukoment ujinga kwa ajili yake?
 
Mkuu sio juju. Madereva wengi wa magari ya Serikali ni wanaendeshaji wa OVYO kabisa wakifuatiwa na waendesha bodaboda!
Upo sahihi Mkuu unakuta mtu ana gari spana mkononi lakini inafika salama haya mamitambo yao wakiyaamsha kwa mwendo wa kasi wanaamini yana balance Kama Excavator kumbe hilo ni gari tuu...
 
Mwendo Kasi tu.acha wafe tu maana kutana nao kwenye Kh 50 wao wanapita Kwa mwendo wa zaidi ya speed 120. Kuna siku mpumbavu mmoja na gari ya serikali aliuwa kwenye kibao cha spidi 50 akiwa na spidi Kali toka siku hiyo sinaga huruma na hao watu.

siku moja isikufanya u conclude kila kitu ni speed.
 
RIP.

madereva wetu wengi hawajui kuendesha kiusalama, yaani defensive driving; wanaendesha hovyo hovyo tu. Wewe utawezaje kuwa na head on colision yenye impact kubwa namna hiyo? Yaani ama magari yote yalikuwa yanaendeshwa katikati ya barabara au gari moja lilikuwa linaendeshwa upande usiokuwa wake na yote kyalikuwa na spidi kubwa ambayo hawawezi kusimama ghafla.
 
Back
Top Bottom