TANZIA Katibu Tawala mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Tixon Nzunda afariki kwa ajali ya gari

Chanzo cha ajali ni mwendo Kasi
Madereva wa serikali wanakuwaga making kong sana barabarani kwasababu sheria za barabarani haziwahusu.

Well, sheria kuu ya fizikia ni kwamba "no two objects shall occupy the same space at the same time" Hii haijalishi plate number

Kuanzia mmoja wao aniparamie nikiwa nimesimama kabisa Iyovi, na nikaishia kutengeneza gari kwa gharama zangu kwasababu hawana bima, nakaa nao mbali
 
Wapuuzi Sana hao madereva
Wanajionaga schumacher

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…