TANZIA Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Mkoa wa Mara, Jeswald Majuva afariki dunia

Uzi wa Mshana unafanya kazi hapa, pole kwa wafiwa.
 
Kwenye hiyo picture wote isipokuwa JPM wamekufa. Ewe mwenyezi Mungu wajalie pepo njema na utupe afya njema wote tulio hai siku ya leo ili tuendelee kukuabudu wewe. Amen.
Naam itafika wakati wote ambao tumecomment huu Uzi tutakuwa tume-expire. Kila kinachozaliwa lazima kife (law of nature)
 
... three-quarter (75%) have passed away. Ee Mungu tuepusha the same ratio isitumike kwa jamii maana tutakwisha.
 
Kuwepo kwenye picha ya pili, inaonyesha alikua mtu wa system.
 
Ngoja taharuki ipite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…