Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
mkewe asaidiwe kivipi kwa mfano, au katika eneo gani?🐒Katibu Mkuu wa UDASA, Dk. Dominicus Makukula, amesema wakati alipomtembelea Dk. Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) anayekabiliwa na kesi ya ugaidi, alitoa ujumbe mmoja muhimu.
Kwa mujibu wa Dk. Makukula, Dk. Kaijage alisema: “Mkipata nafasi, msaidieni mke wangu.”
"Juzi sisi tulipatwa na mkasa hapa kwenye uhuru wa kitaaluma kuna mwalimu alikamatwa kwa kutoa mfano... somo linaendana na kitu kinaitwa governance na maswala ya utawala hapa Tanzania basi akakamatwa akawekwa ndani".
"Mimi mahusiano yangu na huyu ni mwanataaluma mwenzetu na ameingia kwenye matatizo akiwa ni mwanataaluma. Kwa hiyo nimekuja kumuona na kumtia moyo kama mwanataaluma"
"Nawasihi na ninawaomba msizungumze kitu kwa sababu sielewi nini kinaniandaa msizungumze kitu mkipata nafasi naomba mumsaidie mke wangu".
Soma zaidi: Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga
View attachment 3650487
Polepole alikuwa na cheo kuliko wewe lakini kauawaNa iwe fundisho kwa Wahadhiri uchwara
Very sadKatibu Mkuu wa UDASA, Dk. Dominicus Makukula, amesema wakati alipomtembelea Dk. Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) anayekabiliwa na kesi ya ugaidi, alitoa ujumbe mmoja muhimu.
Kwa mujibu wa Dk. Makukula, Dk. Kaijage alisema: “Mkipata nafasi, msaidieni mke wangu.”
"Juzi sisi tulipatwa na mkasa hapa kwenye uhuru wa kitaaluma kuna mwalimu alikamatwa kwa kutoa mfano... somo linaendana na kitu kinaitwa governance na maswala ya utawala hapa Tanzania basi akakamatwa akawekwa ndani".
"Mimi mahusiano yangu na huyu ni mwanataaluma mwenzetu na ameingia kwenye matatizo akiwa ni mwanataaluma. Kwa hiyo nimekuja kumuona na kumtia moyo kama mwanataaluma"
"Nawasihi na ninawaomba msizungumze kitu kwa sababu sielewi nini kinaniandaa msizungumze kitu mkipata nafasi naomba mumsaidie mke wangu".
Soma zaidi: Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga
View attachment 3650487
Swali zuri kabisamkewe asaidiwe kivipi kwa mfano, au katika eneo gani?🐒
Revise and be wise otherwise NO riseSwali zuri kabisa
Sasa chukulia mfano wa watu hawa watatu:Polepole alikuwa na cheo kuliko wewe lakini kauawa
Swali zuri kabisa
Na iwe fundisho kwa Wahadhiri uchwara
Hawa wanafurahia kitu gani hasa. Wanafaidika vipi hawa na hali hii iliyopo sasa hivi nchini!mkewe asaidiwe kivipi kwa mfano, au katika eneo gani?🐒
Mkuu mbona unaulizwa swali la kijinga sana?siyo la laxima kila post uonekane ume commentmkewe asaidiwe kivipi kwa mfano, au katika eneo gani?🐒
Wala hata wao hawajui wanachopiganiaSasa chukulia mfano wa watu hawa watatu:
Hawa wanafurahia kitu gani hasa. Wanafaidika vipi hawa na hali hii iliyopo sasa hivi nchini!
Kuichukia CHADEMA au viongozi wake ndiyo iwe sababu ya wao kuwa namna hii au kuna sababu gani hasa?
Hawa wanaipenda sana CCM kuliko Tanzania? Huyu Mhadhiri alijitangaza yeye mwenyewe kuwa anaifanyia kazi CHADEMA?
Sihitaji jibu lolote toka kwao, ndiyo sababu sikuwauliza wao wenyewe.
Huna bando la kusikiliza kazi uchawa tu.mkewe asaidiwe kivipi kwa mfano, au katika eneo gani?🐒
Hebu Kwanza.Katibu Mkuu wa UDASA, Dk. Dominicus Makukula, amesema wakati alipomtembelea Dk. Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) anayekabiliwa na kesi ya ugaidi, alitoa ujumbe mmoja muhimu.
Kwa mujibu wa Dk. Makukula, Dk. Kaijage alisema: “Mkipata nafasi, msaidieni mke wangu.”
"Juzi sisi tulipatwa na mkasa hapa kwenye uhuru wa kitaaluma kuna mwalimu alikamatwa kwa kutoa mfano... somo linaendana na kitu kinaitwa governance na maswala ya utawala hapa Tanzania basi akakamatwa akawekwa ndani".
"Mimi mahusiano yangu na huyu ni mwanataaluma mwenzetu na ameingia kwenye matatizo akiwa ni mwanataaluma. Kwa hiyo nimekuja kumuona na kumtia moyo kama mwanataaluma"
"Nawasihi na ninawaomba msizungumze kitu kwa sababu sielewi nini kinaniandaa msizungumze kitu mkipata nafasi naomba mumsaidie mke wangu".
Soma zaidi: Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga
View attachment 3650487
Vijana wa Tisi na report zao za end of the day, daily.Hebu Kwanza.
Huyu Mhadhiri kachomewa utambi na nani.
Mwanafunzi au kundi la wanafunzi waliokuwa darasani kwake?
Ni akina nani hawa. Vijana wa CCM, au waliohamasishwa kwa njia nyingine kufanya kazi hiyo?
Hii inaweza kuwa vita kubwa zaidi ya tunavyoitarajia kuwa.
Huenda kuna makundi maalum yanaanza kutushambulia bila yetu kujua adui yetu hasa ni nani; ni CCM pekee au kuna wengine wanaoitumia hiyo fursa?
Naanza kuwa na mashaka kwamba yanayoendelea hapa yanaweza kuwa ni zaidi ya Samia na Genge lake kuwakandamiza waTanzania.
Very sad. Mtu atadaiwaje umeme. Hii ni zaidi ya kukomoanaHuna bando la kusikiliza kazi uchawa tu.
Amebambikiwa bill ya umeme na maji, kivipi mtu awe na malimbikizo ya deni la umeme na maji, umeme ni pre paid, maji ni post paid lakini usipolipa miezi mitatu mamlaka wanakukatia, hayo malimbikizo yamekujaje?
Nyie CCM ni mashetani 👿
Ninakubali wazo lako.Vijana wa Tisi na report zao za end of the day, daily.
Tisi kuwa na mahaba na kufanya kazi za CCM, madarasa yote chuo yana vijana wa tisi wengine huwepo chuoni miaka na miaka, that’s the best they can do, umbea umbea.
Njoo kwenye ujasusi wa kiuchumi hoiiii!
Mimi naanza kuwa na fikra mtambuka dhidi ya watu hawa.Wala hata wao hawajui wanachopigania