Katibu UDASA: Dkt. Kaijage aliniambia Mkipata nafasi msaidieni mke wangu

Mkuu mbona unaulizwa swali la kijinga sana?siyo la laxima kila post uonekane ume comment
Hawa mi huwa naona wanatafuta attention tu tangu nigundue hilo sijawahi kufungua hata nyuzi zao huwa wanafanya makusudi kutafuta likes tu. Mtu timamu kabisa anayejitambua hawezi fanya hayo.

Wanaonufaika tu hawaropoki hivyo.
 
Inaumiza sana
 
Watanganyika imefika mahali kama tunangoja Malaika ashuke na Panga atupiganie!
Kama mhadhiri anaweza kukamatwa harafu Wahadhiri wengine wakaendelea kufundisha bila kuweka Chaki chini basi.
Sina hakika kama Wahadhiri wa Kenya wangekubali!
Njaa baba.
Wana matumbo ya kuyashibisha.
Wakigoma watafukuzwa.
Kwanza wakianza vikao vya maazimio ya mgomo wanaanza kushughulikiwa mmoja baada ya mwingine. Wanaanza na wahamasishaji au viongozi.
Kati yao wanasalitiana kupeleka taarifa ili wapate teuzi. We have rats everywhere.
 
nonsense 🐒
 
kwanini kusikiliza nonsense?

porojo za kubambikiwa bili wakati umetumia huduma ni useless kabisa.


it's obvious huwezi kupata huduma bila kuchangia gharama za uendeshaji na uzalishaji, that's complasory. Na usipolipa bili unasitishiwa huduma regardless wew ni nani na una mihemko kiasi. Huo ni utaratibu wa kawaida kabisa kote nchini.

porojo za kutafuta public sympathy sometimes is useless, it saves nothing kisheria. danganyaneni wenyewe kwa wenyewe 🐒
 
Mkuu mbona unaulizwa swali la kijinga sana?siyo la laxima kila post uonekane ume comment
mihemko ya nini sasa muerevu badala uteme point za maana, una ng'ang'ana kujiexpose ulivyo empty head jukwaani with pointless comment yenye makasiriko nonsense?🐒
 
Hivi TISS ni kweli kwamba uweledi wao wa kazi na kufikiri umeshuka kwa kiwango hiki?
Mimi nadhani lipo kundi lingine tofauti ambao hawajaajiriwa rasmi ila kuna senti za ugali wanapata sasa ili kazi yao ionekane na waendelee kupokea posho ndio wanafosi kuchukua hata taarifa ambazo hazina tija.
Yaani ni sawasawa kwenye tukio wakitumwa polisi na migambo angalia reaction yao utakuta migambo wanatumia nguvu nyingi sana kuliko polisi ambaye ana ajira rasmi.
 
Nakubaliana na wewe
 
We Tlaatlaah endelea kulishwa na wanaokufadhi siku wakiondoa ufadhili ndio utaelewa.
 
Bado hujaelewa mkuu.

Umeme unanunua ndiyo unawaka, sasa iweje mtu akatiwe umeme eti hajalipa muda mrefu ana malimbikizo?

Sio kila anayezungumza ukweli lazima awe mpinzani mnaowachukia ,wengine ni neutral party hatuna upande ila tunasimama kwenye ukweli tu.
 
 

Attachments

  • 1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 7
Jitu maskini tu tena mwl wa Political Science unaweza kushindana na dude kubwa km dola? Huyo ni bwege tu na sasa watamwolea mke
 
Watanganyika imefika mahali kama tunangoja Malaika ashuke na Panga atupiganie!
Kama mhadhiri anaweza kukamatwa harafu Wahadhiri wengine wakaendelea kufundisha bila kuweka Chaki chini basi.
Sina hakika kama Wahadhiri wa Kenya wangekubali!
Sasa jinga km wewe usiye na hata nchi nani akusikilize? Unazungumzia nchi ya kusadikika au tuoneshe kwenye ramani? Ndiyo maana hamuwezi kufanikiwa lolote mnaonekana hamnazo
 
Wanaangukia upande moja una maana gani we poyoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…