Katibu UDASA: Dkt. Kaijage aliniambia Mkipata nafasi msaidieni mke wangu

Daaa πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kaponzwa na Domo sasa kaanza kulilia Mke wake ndiomana mnatakiwa kufanya bidii kwenye mambo yenye tija kwenye taaluma zenuπŸ‘ˆ

Mambo ya alakati wkt umechagua kazi ya kuwajengea vijana uwelewa na kuwaelimishaπŸ‘ˆ

sasaivi kiafrika hakunaga Ushemeji
Shemeji ndio m'baya zaidi ❗️ tegemea janga jipya nyumbani kwako πŸ‘ˆ

Yote ayo yangebaki salama kama utabaki kujikita kwenye
misingi yako✍️
 
Daaa πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Good observation! Eti bill ya umeme? Waache siasa za majitaka na kutafuta huruma ya umma, kajitakia apambane na hali yake, tuviheshimu na kusikiliza vyombo vya ulinzi na usalama watu km hao wanapandikizaga ugaidi na kuna ushahidi alishiriki kuhamasisha zile ghasia na vurugu za tar 29.
 
Wewe unajua alichosema, basi waeeleze wengine, chuo ni chachu ya mabadiliko ya fikra ndo maana kuna mijadala
 
Itakuwa vi UVCCM vilivyokuwa darsani
 
hiyo porojo ni kwaajili ya wafuata mkumbo tu gentleman πŸ’
 
Ki ufupi hatupo salama hata kidgo yaaana kuna watu
Wana roho mbaya sana
 
Na iwe fundisho kwa Wahadhiri uchwara
Unajua kuwa kwa Tanzania ya sasa, ukweli, uhalisia ndio unaponza wananchi! Mwenye weledi hana nafasi. Unayemwita uchwara ndie hasa aliyenyooka. Sasa ishauriwe serikali iweke mitaala inayoendekeza wizi, uuaji, ubadhirifu kuwa ndio njia za utawala bora.
 
Acha ujinga huyo amesoma political science kwaio asifundishe kwa weledi kida nyie ccm mliojipachika madarakani
Akiwa anafundisha political science akisema vijana wakaandamane ndiyo atakua anafundisha kwa weledi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…