Katibu UDASA: Dkt. Kaijage aliniambia Mkipata nafasi msaidieni mke wangu

Mi namuona kilaza tuu pia alishindwa kujua Darasa lake lilikua na watu wa aina gani mi nikingia sehemu niki scan crowd kwa macho yangu najua aina ya watu waliopo Failure to spot snakes 🐍 🐍 in his lecture hall ni Ukilaza na uchwara mwingine. Lazima aelewe kila Taasis ina watu wanaotazama kama mambo yanaenda sawa.
 
Amekosea kuikosoa serikali bali alitakiwa asifie
 
Ushauri Serikali ibadilishe mitaala vyuo vikuu na Idara zake... Ili tuendelee kutolea mfano nchi za wenzetu.

Am out
 
Shetani Hana rafiki mkata viuno kumbuka Kangoye NI MWANA CCM Leo mwaka wa 7 hajulikani kafa au vip sijui unamkumbuka mzee Polepole? Au ulikua hujazaliwa mkata viuno?
we tukana uwezavyo gentleman but porojo is just hot air 🐒
 
we tukana uwezavyo gentleman but porojo is just hot air 🐒
Kukukumbusha habali ya kutekwa mwana CCM nguli kabisa polepole nimatusi kumbe siku moja watakuteka hata wewe mwenzako polepole ndio alikua mnunuzi mkuu wa WABUNGE wa upinzani Kama kina WAITARA kina lijua likali Kia Joseph ****** huko ukelewe kina Mwalimu chacha rioba huko Serengeti nk nk leo hajulikani alipo itakua wewe kiroboto ( WATAKUTEKA WAKULE KIBOGA)
 
Nayeye ajiandae watamla kichwa maana kwa sasa polisi wamejawa viburi na jeurii
 
Hii nchi kwa sasa ina mijitu mikatili sana. Mbaya zaidi maneno na matendo yao ni vitu viwili tofauti.
 
Kuna kitu kinaitwa "Elimu ya Watu Wazima/ Mpango wa Elimu Kwa Walioikosa" (EWaWa/MEMKWA), nenda kajiandikishe ujifunze KKK (kusoma,kuandika na kuhesabu), halafu ukihitimu ndio urudi hapa jukwaani.
Alakati za kibongo gharama ni kubwa sn matokeo ni O 👈
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…