Katibu wa Baraza la maaskofu katoliki TEC aligoma kuwapa wanasiasa mike tundulisu, mnyika na chimbi kwanini mwamposa alimpa mike makonda

Attachments

  • Screenshot_20240716_193908_Google.jpg
    Screenshot_20240716_193908_Google.jpg
    382.5 KB · Views: 3
Amani iwe nanyi wana wa MUNGU

Juzi kanisa katoliki liliitisha kongamano la ekarist takatifu pale uwanja wa uhuru

Katika watu ambao walikuwepo eneo hilo siku hiyo ni wanasiasa mashuhuri tundulisu, mnyika na Emmanuel chimbi katibu mkuu wa chama cha ccm

Wanasiasa hao waliitwa madhabahuni lakini katibu mkuu wa kanisa hilo ambaye pia ni padre wa Jimbo kuu la singida aligoma kuwapa kipasa sauti akisema wanaweza wakarushiana maneno

Lakin cha kushangaza mwamposa hata kujifunza alishindwa yeye kampa mike makonda, ndo yametokea haya ya yakobo, nebkadineza na Yusuf
Na mengine mengi

Mbalikiwe sana maaskofu wa kanisa katoliki kuanzia jana nawaheshimu sana hakika nyie ni taasisi

LONDON BOY
Tangu lini kingpzi wa dini likajiita buldoza?
 
Huo ujasiri wa kulinganisha Kanisa Katoliki na Mwamposa umeutoa wapi? Kuwa na heshima bro! Pia naomba nikusahihishe Kitima hakuwaita hao wanasiasa Madhabahuni bali waliitwa Mimbarini, tufike mahali tutofautishe Madhabahu na Mimbari (Altar vs Podium).
Kichuguu na Mlima vinalingana kivipi wajameni.
 
Amani iwe nanyi wana wa MUNGU

Juzi kanisa katoliki liliitisha kongamano la ekarist takatifu pale uwanja wa uhuru

Katika watu ambao walikuwepo eneo hilo siku hiyo ni wanasiasa mashuhuri tundulisu, mnyika na Emmanuel chimbi katibu mkuu wa chama cha ccm

Wanasiasa hao waliitwa madhabahuni lakini katibu mkuu wa kanisa hilo ambaye pia ni padre wa Jimbo kuu la singida aligoma kuwapa kipasa sauti akisema wanaweza wakarushiana maneno

Lakin cha kushangaza mwamposa hata kujifunza alishindwa yeye kampa mike makonda, ndo yametokea haya ya yakobo, nebkadineza na Yusuf
Na mengine mengi

Mbalikiwe sana maaskofu wa kanisa katoliki kuanzia jana nawaheshimu sana hakika nyie ni taasisi

LONDON BOY
Unawezaje fananisha IST NA BMW. tapeli Mwamposa kwa Fr Kitima ni sawa na IST
 
Back
Top Bottom