Katika biashara mbaya zaidi duniani ni ya madawa ya kulevya. Haitaki utani kabisa

Wale ule mpaka wataendelea kuwa na chokochoko sana kwa sababu ni eneo la utalii harafu Nchi moja ndio inanufaika napo hawa wengine nao wanaona ile sehemu inawahusu nadhani Mwingereza ndio aliwaachia pale na ndio mpatanishi wa huko ila hakuna tatizo lolote ukiwa na visa yao kama Mpaka upo wazi na kama kuna tatizo utajua ukiwa Thailand..
 
113H mpaka Bongo inaweza cost USD ngapi mkuu?
Zipo nyingi na bei nzuri kuanzia mwezi wa 7.2026 kodi mpya wameweka gharama ya Uchakavu kwenye magari ya kuzidi muda wa miaka 10 yana 20% na 40% kwenye uchakavu hilo si itakua balaa kwa sasa hivi..G 460 ya 2015 nilikua nalipia 34m mpaka 39m sasa hivi inasoma 50m mpaka 65m kodi pekee..
XT ya 2019 mwaka jana ililipiwa kodi 51m sawa hiyo hiyo tena mwaka huu mwanzoni wakataka 65m kodi pekee kwenye Scania ni kama hawataki zije zimewekwa kodi kubwa sana sasa hivi kwa hiyo ukiagiza Scania jipange kodi kweli kweli sio kununua.
 
Kenya walipogundua Vietnam kuna fursa ya bidhaa na kazi za viwandani walipeleka ndege kabisa kutokea Nairobi na ndio hao wamejaa pale hata Cambodia pia.
Hivi kaka kumbe Cambodia ni chimbo la vitu bei CHEE kuliko china, nikitaka kujua materials ya kutengeneza sabuni za UNGA na maji, Cambodia zinaweza kua bei nafuu kuliko china au kama Kuna nchi yoyote vitu bei CHEE kuliko china hivi vya sabuni
 
Sawa kaka umesema Vietnam no vitu bei che kuliko china ndo nimeuliza materials ya kitengeneza sabuni chimbo lipi ni zuri na bei nafuu
 
RDL+Import Duty +VAT ndo inafika mpaka 65M!!?. Ni bora kuagiza mpya tu kama ni hivo.
 
Hivi kaka kumbe Cambodia ni chimbo la vitu bei CHEE kuliko china, nikitaka kujua materials ya kutengeneza sabuni za UNGA na maji, Cambodia zinaweza kua bei nafuu kuliko china au kama Kuna nchi yoyote vitu bei CHEE kuliko china hivi vya sabuni
Vietnam,Cambodia wana products nzuri sana

Ova
 
Wanameza kupitia mdomoni au unaingizwa tumboni kupitia makalio?
 
Mi nazungumzia unafuu wa bei kaka
Wao wana viwanda vingi bidhaa zingine Wachina wanakuambia subiri unakaa hotel kumbe mzigo unatoka Vietnam..
Viatu vizuri vingi ni Vietnam na Caterpillar boot mimi nilikua natoka China naenda kupakia vitu vingine Vietnam na napakia Mawigi na saa Cambodia hapo...
Nauli huko sio kama unatoka Afrika ni ndogo sana.
 
Hivi kaka kumbe Cambodia ni chimbo la vitu bei CHEE kuliko china, nikitaka kujua materials ya kutengeneza sabuni za UNGA na maji, Cambodia zinaweza kua bei nafuu kuliko china au kama Kuna nchi yoyote vitu bei CHEE kuliko china hivi vya sabuni
Hizo material ni China na SA hapa Kensington wana kiwanda ila unatakiwa uwe na vibali vya kuingiza huko kutoka chakula na dawa pamoja na Mkemia...
 
Na pia ina usaliti mkubwa wa kibiashara baina ya kundi na kundi, in short ni biashara profitable lakini yenye risk kubwa sana

R.I.P Medellin cartel leader Pablo Emilio Escobar Gaviria
 
Safi sana lyimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…