Katika dunia hii ya kidigitali kulilia mikutano ya hadhara ni ujuha wa kiwango cha ajabu

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
 
Mtu kutaka haki yake si ujuha.

Nyerere alienda New York City mwaka 1959, akawa anahojiwa katika jopo la kipindi cha TV cha former first lady wa US, Mrs. Eleanor Roosevelt, mke wa Rais Frank Delano Roosevelt.

Katika mahojiano yale, Nyerere aliulizwa, watu wako hawako tayari, hawana elimunya kuendesha nchi, huoni kwamba Watanganyika kupata uhuru sasa ni mapema sana?

Nyerere akatoa mfano mmoja wa kifalsafa sana. Akasema, ukimkuta mtu ana koti lake, koti halimtoshi vizuri, utamwambia wewe nipe hili koti lako halikutoshi? Akasema muache mtu na koti lake, ni lake, kama linamtosha au halimtoshi ni suala jingine, yeye mwenyewe ataamua kwa uhuru wake alifanye nini koti lake.

Akasema tulikuwa na uhuru kabla ya wakoloni, hata kama hatukuwa vizuri sana, lakini tulikuwa tunajiendesha wenyewe, tunataka kurudi kujiendesha wenyewe tuamue mambo yetu. Ni haki yetu.

Ukweli kwamba koti halimtoshi hauondoi ukweli kwamba koti ni lake, haukupi wewe haki ya kuamua afanye nini na koti hilo.

Haki ya mikutano ya hadhara ni ya kikatiba, waachieni watu wawe nayo. Kama mitandao ina ufanisi zaidi, ukiwaongezea na hiyo haki ya mikutano on the ground utaharibu nini? Ni haki yao.

Msikilize Nyerere akidai uhuru wa Tanganyika anavyopangua hoja hii ya kusema "uhuru huu haukufai"

Aisee hujui umuhimu wa mikutano kwa vyama vya siasa, hujaona viongozi wa CCM wakipongeza Mhe Rais kuruhusu mikutano hiyo?.
anayelilia na anayepongeza tofautiyake nini? Kwa maoni yangu katika karne hii na teknolojia iliyo kulilia mikutano ya hadhara ni ujuha; na mkuu wala sijataja chama.
 
Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Ingeanza kuwa aibu kwa wazuiaji kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

CCM presha inapanda presha inashuka kuzuia imeshindikana kuachia imebidi sasa vima debe
 
Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Kama mtu ana simu imejaa nyimbo za msanii, youtube anamwona kwenye videos, instagram kamfollow anajua habari zake na bado akiandaa show nyomi linajaa tena kwa kiingilio hapo ndipo ujue kuna tofauti ya virtual na physical
 
INAWEZEKANA lakini utabaki ni ujuha tu
 
Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Lakini pia mtu asiyejua mazingira ya watanzania hadi vijijini ambao kwao mawasiliano bado ni changamoto kubwa achilia mbali kukosekana kwa miundombinu na elimu, huyo ni juha wa kiwango cha lami.
 
Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Lakini si ni wewe uliekuwa unadharau hata space ya Maria?
 
Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Kwamba wewe unaakili kuliko wooote aalioweka umuhimu wa kukutana? Huo niujuha...
Eleea mikutano ni kwaajili ya elimu ya uraia ukisema haina maana basi shule/vyuo pia vifutwe wasikutane maana unaweza fundishwa mtandaoni.
Usipende kuonesha ujuha bara uoneshe ujinga ili tukuelimishe
 
Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Tatizo la vitoto vilivyozaliwa chalinze,Tandale,magomeni,vinafikiri Dar ndio Tanzania!!
Nchi ina watu milioni 61!wenye simu janja hawafiki hata milioni 15!!,harafu unataka watu wafikiwe kwa njia ya mtandao!!unajua gharama za internet,huduma za vingamuzi?Kuna maeneo hapa nchini,hata simu janja hawajuhi ni kitu gani,radio za FM zenyewe shida,radio inayosikika ni RTD au stesheni za nchi jirani,sasa wenyeji kama hao utawafikia vipi kwa kutumia mitandao ya kijamii?YouTube,Facebook,?hapo mikutano ya hadhara ndio mahari pale,watu wanapata nafasi ya kuhoji ana kwa ana!!
Nenda shule dogo,
 
Mosi, itakuwa umegubigwa na 'umjini' kwa kudhani huu utandawazi unaouona na kuuishi ukiwa mjini basi upo kila mahali Tanzania...

Pili, Katiba ya nchi inatoa uhuru wa watu kujieleza na kusikilizwa, hivyo ni haki kwa wanasiasa kuandaa mikutano ili kuwasiliana na wapiga kura wao...
 
Kwa nchi kama Tanzania iliyojaa wajinga wengi, mikutano ya siasa kutoka vyama vya upinzani makini ni muhimu sana ili kuwamakinisha wananchi.

Nchi zilizoendelea ndio sayansi na teknolojia hufanya kazi, na siyo nchi zinazoendelea kama Tanzania.

Enzi zile mara M4C wananchi waliamka sana na wabunge wa upinzani wakiongezeka bungeni. Wabunge wa upinzani wakiwa wengi, basi kunakuwa na changamoto ambazo serikali nayo inakuwa imara kuwatumikia wananchi kwa kutatua kero zinazopigiwa kelele na wapinzani.

Faida za mikutano ya kisiasa hasa upinzani ina faida sana kuliko hasara.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kasoma kwanza report ya TCRA kujua idadi ya watu wenye aces na mtandao na internet ndo uje uainzishe uzi wako
 
Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Naunga mkono hoja
Kuna watu ni majuha sana tuu!.
halafu yanashangilia kupewa kitu ambacho ni haki yao!. Haki haiombwi!, ni stahili inayopaswa kutolewa unconditional, hailetwagi kwenye kisahani cha chai, inadaiwa na ikibidi inapiganiwa!.
P
 
Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Kwa mazingira halisi bado sana kuweza kuunganisha wananchi maeneo yote ya nchi kwa teknolojia ya kidigitali.
Kwa mtu mwenye asiye na uono mpana na mrefu, akikaa kwenye baadhi ya miji anafikiria kuwa hadi vijijini hali Iko hivyo.
Wananchi zaidi ya 95% hawataweza kushiriki mikutano kidigitali kwa sababu ya kukosa vifaa na mtandao.
Uwepo wa teknolojia fulani duniani ni jambo moja na kufika hadi kutumiwa maeneo yote ni jingine kubwa zaidi.
 
Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Jaribu kupanua wigo la kufikiri kwako.
 
Watanzania wengi wanaishi vijijini,ambao pia wengi wao hawana uelewa mkubwa wa teknolojia.
Mikutano ya hadhara ni mhimu,hata kikatiba pia.
 
Back
Top Bottom