Mtu kutaka haki yake si ujuha.Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
anayelilia na anayepongeza tofautiyake nini? Kwa maoni yangu katika karne hii na teknolojia iliyo kulilia mikutano ya hadhara ni ujuha; na mkuu wala sijataja chama.Aisee hujui umuhimu wa mikutano kwa vyama vya siasa, hujaona viongozi wa CCM wakipongeza Mhe Rais kuruhusu mikutano hiyo?.
Ingeanza kuwa aibu kwa wazuiaji kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Kama mtu ana simu imejaa nyimbo za msanii, youtube anamwona kwenye videos, instagram kamfollow anajua habari zake na bado akiandaa show nyomi linajaa tena kwa kiingilio hapo ndipo ujue kuna tofauti ya virtual na physicalKatika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
INAWEZEKANA lakini utabaki ni ujuha tuKama mtu ana simu imejaa nyimbo za msanii, youtube anamwona kwenye videos, instagram kamfollow anajua habari zake na bado akiandaa show nyomi linajaa tena kwa kiingilio hapo ndipo ujue kuna tofauti ya virtual na physical
Kuna tofauti kubwa kati ya virtual na physical experience technology imejutahidi sana kupunguza hili gap lakini bado kuna gap na ndicho kinafanya watu waende kwenye events, mikutano, mikusanyiko physicallyINAWEZEKANA lakini utabaki ni ujuha tu
Lakini pia mtu asiyejua mazingira ya watanzania hadi vijijini ambao kwao mawasiliano bado ni changamoto kubwa achilia mbali kukosekana kwa miundombinu na elimu, huyo ni juha wa kiwango cha lami.Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Lakini si ni wewe uliekuwa unadharau hata space ya Maria?Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Kwamba wewe unaakili kuliko wooote aalioweka umuhimu wa kukutana? Huo niujuha...Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Huyo mpuuzi ni Sukuma GangAisee hujui umuhimu wa mikutano kwa vyama vya siasa, hujaona viongozi wa CCM wakipongeza Mhe Rais kuruhusu mikutano hiyo?.
Tatizo la vitoto vilivyozaliwa chalinze,Tandale,magomeni,vinafikiri Dar ndio Tanzania!!Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Naunga mkono hojaKatika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Kwa mazingira halisi bado sana kuweza kuunganisha wananchi maeneo yote ya nchi kwa teknolojia ya kidigitali.Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.
Jaribu kupanua wigo la kufikiri kwako.Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano ya hadhara wakiwemo wanajinasabu kwenda kidigitali.Hii ni aibu na ishara mbaya.