Katika dunia hii ya kidigitali kulilia mikutano ya hadhara ni ujuha wa kiwango cha ajabu

Kifupi ww ndo juha usiyejua umuhimu wa mikutano ya hadhara...sema tu umeamua kutuelezea ulivyo juha ...

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Una stahiki na uhuru wako wa kusema unachowaza ila ukweli unabaki pale pale nendeni kidigitali- mikutano ya hadhara karne hii ni ujuha
Unafanya na wangapi!!?? Sasa naamini unaweza kutwanga nafaka na kutenganisha na makapi lakini kamwe hauwezi kumtemganisha mpumbavu na upumbavu wake. Unathibitisha hilo
 
Mwalimu genius..
JokaKuu
 
Nchi hii bado tupo nyuma sana kidijitali huo ndio ukweli ! Huwezi kuwafikia watu wengi kwa njia hiyo !!
 
Nchi hii bado tupo nyuma sana kidijitali huo ndio ukweli ! Huwezi kuwafikia watu wengi kwa njia hiyo !!
Mkuu hapa inawezekana- ukitumia bulky SMS unafikia watanzania karibu 50m
 
K
Mkuu tafuta takwimu
Around 70 percent of the surveyed population used a mobile phone daily in Tanzania as of 2021.22 Nov 2022
"70% of the surveyed population" tells us very little because we do not how big was the surveyed area and in which locale. Ukifanya survey Magomeni Mapipa, ya Dar, unaweza kupata hizo takwimu. Na hizo Takwimu hazisemi kati ya hao walilotumia simu, waliotomua 'Vitochi' ni wangapi na walilotumia 'Simujanja' ni wangapi.
Unaposema ulimwengu wa Dijitali, kimsingi, unazungumzia wale wenye Simujanja ambao wanaweza kujiunga na mitandao ya kijamii. Na kwa hakika, wenye Vitochi ni wengi sana kuliko wenye Smartphone. Kwa hiyo Mikutano ya hadhara ni muhimu.
 
So mkuu CHADEMA waliposema wanaenda kidigitali nu utopia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…