Katika dunia ya sasa, mheshimu sana yule anayefunga safari kuja kukutembelea "physically"

ukisema Adonija basi me Namalizia Abayo, alafu IAA nadhani tumeelewana mkuu...mabo ya cotaz , geti dogo tanesco, contena, white house lema, said nanga, kwa tondi, hostel ya zaman kwa maico [emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee hatarii, kwa Ally wa kiepe aisee mambo ni mengi sana
 
Nilipata deal fulani mkoa aliopo mama mdogo tumbo moja na mama,nilimtembelea kama mara tatu na zote hizo nikimkaribisha kwangu hakuwahi kanyaga, ikabaki tunakutana mjini anajisemesha tu ntakuja wiki ijayo na mimi naitikia tu sawa mama afu kila mtu na safari zake

Mjali anaekujali!
 

[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…