Katika Dunia yenye takribani watu Bilioni 8 leo, zaidi ya watu Bilioni 110 wamewahi kuishi na kufa

Daaah
Duuh pole sana aiseee
1-Pombe
2-Ibada
3-..............
 
Ila tuacheni utani.
Mie mwenzenu naogopa sana kufa.
Fanya sana Ibada, kufa kupo na maisha ya hakika yapo Aakhera.
Huko hakuna ujanja ujanja, vile ulivyoishi hapa ndivyo utakavyoishi huko.
Wajanja ,werevu, wababe sana, wasafi sana ,wachafu mno , wasafi, Waumini hawa wote waliishi na tayar wamerejea kwa mola wao
Wakiingoja siku ngumu zaidi katika uhai wa mwanadamu na maisha Mabaya/ Mazuri zaid baada ya siku ya Kiyama.
 
La tatu ilikuwa mjukuu wangu acha uzinzi
 
Ee MUNGU tujalie mwisho mwema
 
alowafanyia hyo sensa ni nan
 
Yaani nitafanya mema ili nijiandie hazina mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…