fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Na umri unazidi kusogea tu 😃Ila tuacheni utani.
Mie mwenzenu naogopa sana kufa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na umri unazidi kusogea tu 😃Ila tuacheni utani.
Mie mwenzenu naogopa sana kufa.
Anza sasa na sio utafanya.Yaani nitafanya mema ili nijiandie hazina mbinguni
Si wanasema nitakuwa nasikia kila kituKwani ukimchinja kuku akiwa kwenye sufuria unamkaangaa anaumia,😂 ndo sawa na wew ukiwa ndichi funza wanakumega bila huruma
Amina.Anza sasa na sio utafanya.
Ila nimekumiss mtu wangu. It's been a very long damn time.Amina.
2050 wengine kama tukiwa hai tutakuwa wazee kabisa, ila wakipungua watakuja wengine hivyo tofauti haitaonekana.Daaah na jf sijui itakuwepo pia....
Hapa nikipiga hesabu mpaka 2050 hivi..
kuna member watapungua wa kutosha... 😂😂😂🤔🤔🤔🤔
Acha tu mpwaNa umri unazidi kusogea tu 😃
Ni kujipa matumaini huku unatengeneza njia yakoAcha tu mpwa
Na hizi kazi zetu, muda wowote ukiotewa tu kinanuka...
Nipo kipenzi changuIla nimekumiss mtu wangu. It's been a very long damn time.
Tutakua tunakumbukana2050 wengine kama tukiwa hai tutakuwa wazee kabisa, ila wakipungua watakuja wengine hivyo tofauti haitaonekana.
Wazushi haoSi wanasema nitakuwa nasikia kila kitu
Tatizo unaweza ukawa busy na mambo yako, kumbe kuna wajuba wanakula na wewe sahani mojaNi kujipa matumaini huku unatengeneza njia yako
Kwahiyo nisiogope?Wazushi hao
Naona Dom kumekupenda. Msalimie mdogo wakoNipo kipenzi changu
Si unajua sahv hakuna mchezo mchezo
Ni mchaka mchaka tu
Yule wa mzungu au yule wa Ulaya?Naona Dom kumekupenda. Msalimie mdogo wako
Kula bia tuKwahiyo nisiogope?
Au nifanye kama vile nikifa, nimekufa.Kula bia tu
Wa Ulaya.... Huyo wa mzungu asubiri kwanza 😊Yule wa mzungu au yule wa Ulaya?
Yes wala ufufuo hakunaAu nifanye kama vile nikifa, nimekufa.
Hakuna incarnation? Au sio!!