Katika Dunia yenye takribani watu Bilioni 8 leo, zaidi ya watu Bilioni 110 wamewahi kuishi na kufa

Hata huko anapoenda ataishi kwa KUTAPATAPA vile vile.

Alitakiwa atuliee tu, alikuwa anaogopa asichokijua.

Fear of the unknown is the greater threat than the actual threat itself.
Hofu ya kufa mkuu usidhani masikhara.
Nakumbuka mwaka 2012 niliumwa, niliumwa mwezi mmoja tu, ila huwezi amini ilikuwa inafikia hatua pumzi inakata yenyewe, naona maruweruwe ya kifo, natapatapa kuitafuta pumzi.
Nashukuru Mungu, madaktari wa Muhimbili na kwa Mvungi Kinondoni ndio waliniponesha.
Mpaka leo hii nikienda hapo kwa Mvungi wanajua tabu ile niliyokuwa naipata. Niliishi nusu duniani, nusu akhera.
Kiufupi nilionja kifo.
Mtu ambaye anaweza kutoa ushuhuda wa hali niliyokuwa nayo kipindi kile ni Mtambuzi na somebody Man P. Japo wengi walikuja kuniona wodini, kama wapo wanaweza shuhudia hali niliyopitia.
Nilipopona nilianza upya kuanzia kuongea, kutambua watu, mpaka kutembea.
 
Ukisha kufa wala hutaogopo Madame B. Ukiona unaogopa kufa jua bado uko hai na akili yako iko timamu.
Nikisikilizaga haya mawaidha, aisee....tumbo langu lanicheza haki vile.
Nawaza pumzi yangu itakavyokoma.... acha tu mkuu
 
Hofu ya kufa mkuu usidhani masikhara.
Nakumbuka mwaka 2012 niliumwa, niliumwa mwezi mmoja tu, ila huwezi amini ilikuwa inafikia hatua pumzi inakata yenyewe, naona maruweruwe ya kifo, natapatapa kuitafuta pumzi.
Nashukuru Mungu, madaktari wa Muhimbili na kwa Mvungi Kinondoni ndio waliniponesha.
Mpaka leo hii nikienda hapo kwa Mvungi wanajua tabu ile niliyokuwa naipata. Niliishi nusu duniani, nusu akhera.
Kiufupi nilionja kifo.
Mtu ambaye anaweza kutoa ushuhuda wa hali niliyokuwa nayo kipindi kile ni Mtambuzi na somebody Man P. Japo wengi walikuja kuniona wodini, kama wapo wanaweza shuhudia hali niliyopitia.
Nilipopona nilianza upya kuanzia kuongea, kutambua watu, mpaka kutembea.
pole.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mi kuna mda nabubujikwa na machozi...
Nikifikilia kuwa 2060 sitoboi doooh
Usiombe ububujikwe chozi la jicho moja halafu jicho lingine kavuu 😭😭😭😭 linaumaga mno 😭😭😭😭😭😭
 
Nilishapoa.
Na ndio maana nikisema naogopa kufa, huwa namaanisha.
Nilishapitia hiyo hali mkuu
Usiogope ni kawaida tu.

Hofu uliyokuwa nayo ilitokana na maumivu ya ugonjwa na wasiwasi wa kuondoka, lakini kifo ni kitu chepesi mno.

Ukipata wasaa waulize wale wanaokufa huku wanacheka wakwambie wanaona nini!
 
Wanasema kila mtu atakufa kwa style yake.
Ila nikwambie kitu BICHWA KOMWE - , kifo hakizoeleki....
 
Back
Top Bottom