Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Usiingize mambo ya imani kwenye haya mambo, Jesuits ni adui wa kila mmoja sio wasabato tu.Amekiandika nani isiwe ni Wasabato wameandika. ?
Kwa sababu wanakuwa na mipango ya muda mrefu wa maendeleo.Hapana Kila wakiongoza huwa Kuna ukata sana
Nimesema hivyo kwa sababu wa Wasabato ni watu wa kuzusha mambo mabaya juuUsiingize mambo ya imani kwenye haya mambo, Jesuits ni adui wa kila mmoja sio wasabato tu.
Siku ukijua ni nani waliohusika kuzamisha meli ya Titanic ndyo utaua Jesuits Ni watu wa aina gani.
Tawala za DuniaFafanua vizuri kiongozi
Sidhani labda uniambie kipi wamefanya ambacho wengine hawakufanya ili kusema wao wamekuwa na mipango ya mda mrefuKwa sababu wanakuwa na mipango ya muda mrefu wa maendeleo.
e jamaa uko obsessed na uislamu walikufanya nini hao watu? Au walikupa mimba na kuutelekeza?Msikiti wa kwa Shehe tumbo tunakuja na tamko hivi punde.
Safi kwa uchambuzi mzuri. Hongera sana.Tawala za Dunia
Babilonia - Ilipinduliwa na Medo-Persia.
The Medo-Persia Ilipinduliwa na Greece.
Greece Ilipinduliwa na Romans.
Romans haijapindiliwa, bado IPO madarakani. Badala yake imegawanyika, ikiwa na washirika Ulaya na America.
Jitihada za kuiunganisha Iron and Steel, EU, UN etc hazifanikiwi.
Research.....Nimesema hivyo kwa sababu wa Wasabato ni watu wa kuzusha mambo mabaya juu
ya kanisa Katoliki. Jesuits ni religius order hawawezi kuua watu wasio na hatia mkuu.
Kwa walikuwa na kosa gani mpaka wazamishe hiyo meli ya Titanic ni uchunguzi gani
ulionesha hivyo
Hujui kazi kubwa iliyofanywa na Ben Mkapa. Kuweka mifumo imara ya kitaasisiSidhani labda uniambie kipi wamefanya ambacho wengine hawakufanya ili kusema wao wamekuwa na mipango ya mda mrefu
Hii nakupa kama assignment anza kuwaangalia viongozi warumi ni wabinafsi mno.
Na Wana unafiki flani ambao huwezi kuuona kirahisi maana hujivika unyenyekevu
Hutaki wasabato waguswe ila unataka wengine ndiyo waguswe?Usiingize mambo ya imani kwenye haya mambo, Jesuits ni adui wa kila mmoja sio wasabato tu.
Siku ukijua ni nani waliohusika kuzamisha meli ya Titanic ndyo utaua Jesuits Ni watu wa aina gani.
Sawa naomba hiko kitabuResearch.....
Ni kweli mkuu ndio maana nikamwambia kama ni hao watu n wazushi sanaHutaki wasabato waguswe ila unataka wengine ndiyo waguswe?
Adui wa kila mmoja? Hao akina kila mmoja ni akina nani? Adui kwako ndiye unamtangaza kuwa ni adui wa kila mmoja? Au sababu umesoma chapisho la mtu mwenye akili na mitazamo kama yako ?
Alipaswa kufanya zaidiHujui kazi kubwa iliyofanywa na Ben Mkapa. Kuweka mifumo imara ya kitaasisi
Tanzania, kulipa madeni ya nchi hii na kuweka misingi imara ya miundo mbinu
kama barabara.
Kipo hard copy, nilipata Amazon kwa $22 tu.Sawa naomba hiko kitabu
Roman Empire ni Kanisa Katoliki ? At its Peak who was the Leader na Alikuwa anawafanya nini Wakristu (Wayahudi)..., Ni kwamba Mfalme (ambaye sasa hivi anaitwa Mtakatifu) Constantine aliona kwamba kuna wakristu waliokuwepo wengi akaona akisema ametokewa na ameokoka kuwa Mkristu na sio Mpagani tena atapata jeshi kubwa kwa siku moja..., Ndio hicho hicho kama walivyofanya wengine kina Persia et al na Dini ya Islam...Angalia kanisa Katoliki, Vatican ni kila kitu, Trump ataenda kupasalimia ndipo aanza kazi.
Sawa sawaKipo hard copy, nilipata Amazon kwa $22 tu.
Kutawala watu kiimani za dini haimanishi bado utawala wako ni superior,empire kutawala maana yake ni kuongoza kiuchumi na kijesho na sio nadharia zako za kiimani.Tawala za Dunia
Babilonia - Ilipinduliwa na Medo-Persia.
The Medo-Persia Ilipinduliwa na Greece.
Greece Ilipinduliwa na Romans.
Romans haijapindiliwa, bado IPO madarakani. Badala yake imegawanyika, ikiwa na washirika Ulaya na America.
Jitihada za kuiunganisha Iron and Steel, EU, UN etc hazifanikiwi.