Katika hali gani unaweza kulazimika kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Wanaoleka, hata wake za watu kuna marijali wanawatoa kwa wanaume zao na kuwaoa mpaka mume mtu anapata sukari na presha kwa kunyang'anywa mke aliyezaa nae watoto. Ni wewe tu na nguvu zako za ushawishi.
 
Kuoa Single mother ni kujitakia hatari kubwa sana maishani, unaanza kubeba mzigo wa mtoto ambaye sio wako na kulea mtoto na mama

Na unaweza kumuoa ikiwa mwanamume aliyemzalisha huyo mwanamke hayuko hai tena yaani ni marehemu na tatizo kubwa liko kwenye saikolojia ya huyo mwanamke, kwani ukimkwaza kidogo tu atamkumbuka aliyemzalisha na kuanza kumkumbuka na kama mzazi mwenzie yuko hai, hapo ni balaa kubwa kwani wataendeleza mapenzi yao kama kawaida.

In short, epuka Single mother kama ukimwi
 
Hahaha, mkuu, ukizaa na binti wanaume wengine watakuogopa kama unavyowaogopa? Au ukilega wanaweka ndani hata kama bado unamtaka?
 
Vijana wa mjini wanasema ukipigwa na ch**I usoni wakati umelala nae. Utajikuta tu umeoa na mie baba Wa mtoto nipo na ataleta mtoto nimesalimie nikihitaji
 
Back
Top Bottom