Vita ni vita Murra kwa jeshi hakuna vita ndogoHata huku Makumbusho zimepita zile gari zao wako full equipped utadhani kuna vita aiseee
Tumefika hapa kwakua kuna tabaka la watu wanaamini wao ndio wenye haki miliki ya nchi na wenye akili kuliko mtu yoyote sijui kwa manufaa ya nani lakini hawalisaidii Taifa wala watu wakeAman iwe nanyi wana wa MUNGU
Katika Hali isiyo ya kawaida kabisa huku mjini posta FFU wanatembea kama kumbi kumbi na magari yao
Kilichonishangaza zaidi ni silaha walizobeba, silaha hizi nazionaga kabeba myahudi kwa ajili ya kuwaulia magaid wa hamasi nimeshangaa sana
FFU wakiwa wanalinda bank wanabeba SMG na AKA 47 kwenye kuzuia maandamano wanabeba silaha ambazo hazijawahi kuonekana technology ya myahudi
Lakini sis haturudi nyuma tarehe 23 kama kawaida tuko barabaran
Samia must go
LONDON BOY
Picha ya hizo silahaAman iwe nanyi wana wa MUNGU
Katika Hali isiyo ya kawaida kabisa huku mjini posta FFU wanatembea kama kumbi kumbi na magari yao
Kilichonishangaza zaidi ni silaha walizobeba, silaha hizi nazionaga kabeba myahudi kwa ajili ya kuwaulia magaid wa hamasi nimeshangaa sana
FFU wakiwa wanalinda bank wanabeba SMG na AKA 47 kwenye kuzuia maandamano wanabeba silaha ambazo hazijawahi kuonekana technology ya myahudi
Lakini sis haturudi nyuma tarehe 23 kama kawaida tuko barabaran
Samia must go
LONDON BOY
Kitwana kondoHayati KK aliniambia kufikia 2035 Eneo lote la Posta litakuwa Bandari na Ofisi za Mawakala
Nimeanza kuamini Maneno yake aliyoniambia 1988 ππ
Mbowe kaihirisha maandamano, anadai anawasikiliza maaskofu wanaofanya kikao na serikali.Aman iwe nanyi wana wa MUNGU
Katika Hali isiyo ya kawaida kabisa huku mjini posta FFU wanatembea kama kumbi kumbi na magari yao
Kilichonishangaza zaidi ni silaha walizobeba, silaha hizi nazionaga kabeba myahudi kwa ajili ya kuwaulia magaid wa hamasi nimeshangaa sana
FFU wakiwa wanalinda bank wanabeba SMG na AKA 47 kwenye kuzuia maandamano wanabeba silaha ambazo hazijawahi kuonekana technology ya myahudi
Lakini sis haturudi nyuma tarehe 23 kama kawaida tuko barabaran
Samia must go
LONDON BOY
Kwa Tanzania haiwezekani na haitotokea ndani ya miaka 30 ijayo.Hizo ni mbwembwe tu.wananchi wakiamua hakuna wa kuzuia.tumejionea Kenya walipoamua wananchi polisi walifanya u babe wao mwishoe wakashindwa nguvu na kupelekea kutimiza madai ya wananchi Kwa serikali.Hata huko misiri wakati wa mapinduzi ulikuwa hivohivo hatimaye nguvu ya umma ikawashinda polisi.hakuna kuogopa polisi Wala nini.Aluta continua