Katika Hali isiyo ya kawaida FFU waanza shamra shamra huku mjini posta wanazunguka zunguka kabla ya tarehe 23 yenyewe

Katika Hali isiyo ya kawaida FFU waanza shamra shamra huku mjini posta wanazunguka zunguka kabla ya tarehe 23 yenyewe

FFU wakiwa wanalinda bank wanabeba SMG na AKA 47 kwenye kuzuia maandamano wanabeba silaha ambazo hazijawahi kuonekana technology ya myahudi
Ni uandishi wa kipumbavu unao utumia hapa.
Ni kama umetumwa kuja hapa kuwatisha watu. Umelipwa kiasi gani wewe na hao mabwana zako.
 
Hizo ni mbwembwe tu.wananchi wakiamua hakuna wa kuzuia.tumejionea Kenya walipoamua wananchi polisi walifanya u babe wao mwishoe wakashindwa nguvu na kupelekea kutimiza madai ya wananchi Kwa serikali.Hata huko misiri wakati wa mapinduzi ulikuwa hivohivo hatimaye nguvu ya umma ikawashinda polisi.hakuna kuogopa polisi Wala nini.Aluta continua
Wananchi bado hawajaamua sasa
Ila chadema wanalazimisha wananchi waamue kwa ajili ya maslahi yao
 
Amwage hayo maji washa,,wakachukue maji ya Dawasa wamwagalie bustani za jiji.
 
Hizo ni mbwembwe tu.wananchi wakiamua hakuna wa kuzuia.tumejionea Kenya walipoamua wananchi polisi walifanya u babe wao mwishoe wakashindwa nguvu na kupelekea kutimiza madai ya wananchi Kwa serikali.Hata huko misiri wakati wa mapinduzi ulikuwa hivohivo hatimaye nguvu ya umma ikawashinda polisi.hakuna kuogopa polisi Wala nini.Aluta continua
fanyeni kweli sasa kama mtaweza watu tufurahi,siyo kujimwambafai jf tu.
 
Hivi kumbe ndio wale ?? Nimewaona aisee.
 
Aman iwe nanyi wana wa MUNGU

Katika Hali isiyo ya kawaida kabisa huku mjini posta FFU wanatembea kama kumbi kumbi na magari yao

Kilichonishangaza zaidi ni silaha walizobeba, silaha hizi nazionaga kabeba myahudi kwa ajili ya kuwaulia magaid wa hamasi nimeshangaa sana

FFU wakiwa wanalinda bank wanabeba SMG na AKA 47 kwenye kuzuia maandamano wanabeba silaha ambazo hazijawahi kuonekana technology ya myahudi

Lakini sis haturudi nyuma tarehe 23 kama kawaida tuko barabaran

Samia must go

LONDON BOY
Nilivyoona neno shamrashamra, nikadhani lazima na picha itahusika
 
Umenena ! Ni kwa sababu hiyo tu !
Hakuna kinachoshindikana ni vile tu nchi zetu huku watu hawana mioyo hiyo raia wakiamua jambo ogopa sana. Mi ninachoweza sema sioni wa kunifanya nitoke nyumbani nikafanye maandano ili hali hata akiwa yeye madarakani hatafanya chochote kile. !
 
Back
Top Bottom