TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Ndio. Unasemaje mkuu?Wewe ndiyo msaidizi wa makonda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio. Unasemaje mkuu?Wewe ndiyo msaidizi wa makonda?
Hongera sanaNdio. Unasemaje mkuu?
Hongera ya nini sasa bossHongera sana
Tuliza kishundu hicho, nyamitako lazima wamlalie tu.hamna cha kumfanya makonda .........hizo ni akili za bavicha
Mlikuwa mnasema hivi hivi kwa Sabaya..hamna cha kumfanya makonda .........hizo ni akili za bavicha
Basi sawa.hamna cha kumfanya makonda .........hizo ni akili za bavicha
Makonda alikuwa mtu hovyo kabisa anapaswa kufika mahakamani ashtakiwe hata kwa ujinga wake.Katika hali ya kawaida Makonda hana raha kabisa.
Hana raha kwa sababu hana mamlaka yoyote tena ya kumfanya afanye vitu vya kuonekana.
Makonda kaondokewa na Godfather.
Makonda anatajwatajwa na watu kuwa kwa matendo yake anaweza kuwa zaidi ya Sabaya.
Hata Sabaya aliwahi kumtaja kwa sifa Makonda.
Pale Sabaya alipotaka hela kwa nguvu toka kwa wafanyabiashara na kuwadhihaki kuwa "mtajua wenyewe cha kusema kama ni ujambazi au Makonda Style".
Leo hii Sabaya cha Mtoto kwa Makonda,Sabaya Yuko nyuma ya nondo,je Makonda anajisikiaje?
Makonda aliweza kwenda clouds Usiku kibabe na Special force,
Makonda alikua anapigiwa salute,Makonda alikua anaingia nyumba nyeupe vile apendavyo,
Alikua anaweza kutoa amri kwa baadhi ya watu wasionekane Dar es salaam.
Lakini sasa haijulikani Yuko wapi,anafanya nini.
Alikua governor aliishi kifahari ofisini Hadi nyumbani.
Alilalamikiwa Sana lakini hakuguswa,waliomshitaki waiiadhibiwa wao.
Hata Waziri wa mambo ya nje wa USA alivyomtuhumu lakini hakuondolewa,
Tena tuhuma nzito kabisa za kunyang'anya haki za watu za kuishi lakini hakuondolewa.
Asante Sana TISS kwa kumpigia fix Kisha akaenda kugombea ubunge akashindwa na aliporudi akakuta kiti chake kakaa mwingine.
Leo hii Makonda ana hofu,sijua kama Bado Pasi yake anayo au kakabidhi.
Makonda alichaguliwa kuwa Mkuu wa Wilaya mara tu baada ya kumzaba vibao Waziri Mkuu mstaafu anaeheshimiwa na watu wengi mzee Warioba.
Makonda akawa Mkuu wa Mkoa,
Akafanya mengi mazuri na mengine sio mazuri.
Akataja wauza na watumia madawa ya kulevya,
Akamtaja mtoto wa aliemteua kuwa Mkuu wa Wilaya ,Mbowe,Gwaji boi na wengine wengi.
Makonda akataja wanaume waliotelekeza watoto,akamtaja
Waziri Mkuu mstaafu Lowasa na watu wengine.
Makonda alikua na mengi bana mengine mtaongezea.
Sasa kwa hali ya kawaida Makonda hawezi kuwa na raha, kwa sababu hana mahali pa kufanya mambo ya kuonekana.
Lakini kubwa zaidi ni jinsi anayolinganishwa na jambazi sugu sabaya.nasema jambazi kwa sababu Mahakama tayari imethibitisha hilo.
Mungu fundi.
Jamani! Hii ndiyo Tanzania yetu. Utadhani ni uongo!
Tizama hii... Aliyenyooshewa kidole alipo sasa na yeye alipo... This life..!!
Kwann Dina??Uongo
Na kweli ukazimwa??Kuna siku tulikuwa pale akaingia akamrisha mziki uzimwe, maana ana meeting
Hiyo ya vibao duh kali
Ova
Kuishi kwa kutegemea uteuzi ni utaahiraSubiri utakaposikia Makonda kala teuzi ndio utawafahamu vizuri CCM.
Alipigwa Na nani?Kwann Dina??
Aliwahi kufanya group sex na mademu wa Airtel. Dah jamaa bhana.