mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,950
- 5,317
AiseeMsambwanda ule........ Dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeMsambwanda ule........ Dah
Unataka wakupelekee moto?Lema, Lisu, Msigwa, Mbowe, Sugu wao wako wapi?
Usiokote kila anachosema mange!Juzi kati nasikia kala vibao pale Dar Fish Market..
Hebu tiririka mkuu, au bado unamuogopa?Aliwahi kufanya group sex na mademu wa Airtel. Dah jamaa bhana.
Watesi wake aliwaua ama kuwalawiti, ni ngumu kujitokeza kuanzisha kesi.Tofauti na tuhuma za clouds ni kitu gani kingine alifanya makonda cha kuwatesa watu naona umeelezea ila mwnyewe huna kitu cha kumtuhumu na issue ya clouds nu kampuni kubwa ile mbona haijamfyngulia mashtaka hadi leo mpaka wakili wa kujitegemea ndo afungua mashtaka yanayohusu taasisi nyingine
Makonda angekua na malalamiko kutoka kwa wananchi jamhuri ingemfungulia mashtaka ila hana malalamiko na mwananchi yeyote tofauti na vigogo aliokua anawasema sema kwa mabaya kila siku
Sabaya ametesa watu wazi wazi huwezi mfananisha na konda boy
Na washabiki wengine wapizi wapuzi wanaopenda udikiteta. Mpaka leo wako kwenye matangaWalopata msibae mkubwa mpaka leo ni kina Makonda,sabaya,polepole,bashiru
Ni ule msemo wa aliyeko juu mngoje chini
hilo hata mimi naliwaza sana. tujiandae kisaikolojia pale ccm itakapotufanyia ''sapuraizi'' ya kufungia mwaka kwa kumzawadia makonda cheo kikubwa serikalini.Subiri utakaposikia Makonda kala teuzi ndio utawafahamu vizuri CCM.
Ana ngozi ngumu huyo jamaa ohooooi we muone hivi tu. Uzuri ni kuwa alishawai ye mwenyewe kusema hilo.Katika hali ya kawaida Makonda hana raha kabisa.
Hana raha kwa sababu hana mamlaka yoyote tena ya kumfanya afanye vitu vya kuonekana. Makonda kaondokewa na Godfather.
Makonda anatajwatajwa na watu kuwa kwa matendo yake anaweza kuwa zaidi ya Sabaya. Hata Sabaya aliwahi kumtaja kwa sifa Makonda.
Pale Sabaya alipotaka hela kwa nguvu toka kwa wafanyabiashara na kuwadhihaki kuwa "mtajua wenyewe cha kusema kama ni ujambazi au Makonda Style".
Leo hii Sabaya cha Mtoto kwa Makonda,Sabaya Yuko nyuma ya nondo,je Makonda anajisikiaje?
Makonda aliweza kwenda clouds Usiku kibabe na Special force,
Makonda alikua anapigiwa salute,Makonda alikua anaingia nyumba nyeupe vile apendavyo,
Alikua anaweza kutoa amri kwa baadhi ya watu wasionekane Dar es salaam.
Lakini sasa haijulikani Yuko wapi,anafanya nini.
Alikua governor aliishi kifahari ofisini Hadi nyumbani.
Alilalamikiwa Sana lakini hakuguswa,waliomshitaki waiiadhibiwa wao. Hata Waziri wa mambo ya nje wa USA alivyomtuhumu lakini hakuondolewa. Tena tuhuma nzito kabisa za kunyang'anya haki za watu za kuishi lakini hakuondolewa.
Asante Sana TISS kwa kumpigia fix Kisha akaenda kugombea ubunge akashindwa na aliporudi akakuta kiti chake kakaa mwingine.
Leo hii Makonda ana hofu,sijua kama Bado Pasi yake anayo au kakabidhi.
Makonda alichaguliwa kuwa Mkuu wa Wilaya mara tu baada ya kumzaba vibao Waziri Mkuu mstaafu anaeheshimiwa na watu wengi mzee Warioba.
Makonda akawa Mkuu wa Mkoa,
Akafanya mengi mazuri na mengine sio mazuri.
Akataja wauza na watumia madawa ya kulevya,
Akamtaja mtoto wa aliemteua kuwa Mkuu wa Wilaya ,Mbowe,Gwaji boi na wengine wengi.
Makonda akataja wanaume waliotelekeza watoto,akamtaja
Waziri Mkuu mstaafu Lowasa na watu wengine.
Makonda alikua na mengi bana mengine mtaongezea.
Sasa kwa hali ya kawaida Makonda hawezi kuwa na raha, kwa sababu hana mahali pa kufanya mambo ya kuonekana.
Lakini kubwa zaidi ni jinsi anayolinganishwa na jambazi sugu sabaya.nasema jambazi kwa sababu Mahakama tayari imethibitisha hilo.
Mungu fundi.
Yaan hao ndio wenye msibaNa washabiki wengine wapizi wapuzi wanaopenda udikiteta. Mpaka leo wako kwenye matanga
Katika hali ya kawaida Makonda hana raha kabisa.

Unawasingizia polisi kwa nini?Sema Magufuli "maliemu"!Sabaya amefanya makosa yake Makonda amefanya makosa yake, lakini waliokuwa wakiwapa nguvu yote ni polisi wetu. Jee wakubwa wa polisi nao watashtakiwa kwa makosa ya kutoa ushirikiano nao?.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]