Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Baada ya hukumu anapelekwa makao makuu ya mabashaUmenishtua mkuu. Basha nini mzee 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya hukumu anapelekwa makao makuu ya mabashaUmenishtua mkuu. Basha nini mzee 🤣🤣
Tizama hii... Aliyenyooshewa kidole alipo sasa na yeye alipo... This life..!!
Upuuzi uliuanza wewe,mimi naendeleza tu ulipoishia wewe.Kumbe na wewe ni mpuuzi hivi?
AMENMadaraka, usipojua kuyatumia vizuri, huzalisha ushetani. Lakini pengine unakuwa tayari na ushetani, ila madaka yanakupa nyezo za kutimiza ushetani wako.
Lee van cliff jina lako halisi nani mwenzangu....Sheria haitazami malalamiko na mitazamo ya watu kama yako na wengine wanaofanana na Wewe bali msingi wa kesi kwa kuzingatia usawa na haki kisheria ..... Msingi wa yale yote yanayozungumzwa na watu kama wewe juu ya Paul Christian Makondo muachie yeye kwani Jambo lolote litakaloendelea juu yake litamuhusu yeye sio wewe na sisi.Ombi langu kwako Pambana katika kujenga uchumi wako na wa TAIFA LETU hili litakujenga sana na ni jambo jema,vijana wengi tunachelewa kufika tuendako kwa kuwa tuna vituo vingi visivyo na msingi kwani tunakimbilia Mambo yasiyotuhusu ikiwa sisi wenyewe tunamatatizo mengi yasiyovumilika.....Katika hali ya kawaida Makonda hana raha kabisa.
Hana raha kwa sababu hana mamlaka yoyote tena ya kumfanya afanye vitu vya kuonekana. Makonda kaondokewa na Godfather.
Makonda anatajwatajwa na watu kuwa kwa matendo yake anaweza kuwa zaidi ya Sabaya. Hata Sabaya aliwahi kumtaja kwa sifa Makonda.
Pale Sabaya alipotaka hela kwa nguvu toka kwa wafanyabiashara na kuwadhihaki kuwa "mtajua wenyewe cha kusema kama ni ujambazi au Makonda Style".
Leo hii Sabaya cha Mtoto kwa Makonda,Sabaya Yuko nyuma ya nondo,je Makonda anajisikiaje?
Makonda aliweza kwenda clouds Usiku kibabe na Special force,
Makonda alikua anapigiwa salute,Makonda alikua anaingia nyumba nyeupe vile apendavyo,
Alikua anaweza kutoa amri kwa baadhi ya watu wasionekane Dar es salaam.
Lakini sasa haijulikani Yuko wapi,anafanya nini.
Alikua governor aliishi kifahari ofisini Hadi nyumbani.
Alilalamikiwa Sana lakini hakuguswa,waliomshitaki waiiadhibiwa wao. Hata Waziri wa mambo ya nje wa USA alivyomtuhumu lakini hakuondolewa. Tena tuhuma nzito kabisa za kunyang'anya haki za watu za kuishi lakini hakuondolewa.
Asante Sana TISS kwa kumpigia fix Kisha akaenda kugombea ubunge akashindwa na aliporudi akakuta kiti chake kakaa mwingine.
Leo hii Makonda ana hofu,sijua kama Bado Pasi yake anayo au kakabidhi.
Makonda alichaguliwa kuwa Mkuu wa Wilaya mara tu baada ya kumzaba vibao Waziri Mkuu mstaafu anaeheshimiwa na watu wengi mzee Warioba.
Makonda akawa Mkuu wa Mkoa,
Akafanya mengi mazuri na mengine sio mazuri.
Akataja wauza na watumia madawa ya kulevya,
Akamtaja mtoto wa aliemteua kuwa Mkuu wa Wilaya ,Mbowe,Gwaji boi na wengine wengi.
Makonda akataja wanaume waliotelekeza watoto,akamtaja
Waziri Mkuu mstaafu Lowasa na watu wengine.
Makonda alikua na mengi bana mengine mtaongezea.
Sasa kwa hali ya kawaida Makonda hawezi kuwa na raha, kwa sababu hana mahali pa kufanya mambo ya kuonekana.
Lakini kubwa zaidi ni jinsi anayolinganishwa na jambazi sugu sabaya.nasema jambazi kwa sababu Mahakama tayari imethibitisha hilo.
Mungu fundi.
Aliekwambia nchi hii inaongozwa na mama ni naniMakonda na mama damdam. Wewe ndelea kudemka tuu
Msambwanda ule........ Dah
Kingo ya utumbo mpana kuguswa ndohofu yako ataguswa tu huoni mwezake hata kushuka kwenye gari anafeli na vielelezo kutoka bank leo vimepokelewaMsambwanda ule........ Dah
Amteue kuwa balozi USA.Subiri utakaposikia Makonda kala teuzi ndio utawafahamu vizuri CCM.
Duh, wapi hiyo chiefAliwahi kufanya group sex na mademu wa Airtel. Dah jamaa bhana.
Aliwahi kufanya group sex na mademu wa Airtel. Dah jamaa bhana.
Tizama hii... Aliyenyooshewa kidole alipo sasa na yeye alipo... This life..!!
Ilikuwa puberty period katika uongozi.Wanaume wote wa daslam walipimwa tezi dume...nyumba baada ya nyumba
Hahaa! Silipendi neno la wahuniSubiri utakaposikia Makonda kala teuzi ndio utawafahamu vizuri CCM.
17.3.2021Katika hali ya kawaida Makonda hana raha kabisa.
Hana raha kwa sababu hana mamlaka yoyote tena ya kumfanya afanye vitu vya kuonekana. Makonda kaondokewa na Godfather.
Makonda anatajwatajwa na watu kuwa kwa matendo yake anaweza kuwa zaidi ya Sabaya. Hata Sabaya aliwahi kumtaja kwa sifa Makonda.
Pale Sabaya alipotaka hela kwa nguvu toka kwa wafanyabiashara na kuwadhihaki kuwa "mtajua wenyewe cha kusema kama ni ujambazi au Makonda Style".
Leo hii Sabaya cha Mtoto kwa Makonda,Sabaya Yuko nyuma ya nondo,je Makonda anajisikiaje?
Makonda aliweza kwenda clouds Usiku kibabe na Special force,
Makonda alikua anapigiwa salute,Makonda alikua anaingia nyumba nyeupe vile apendavyo,
Alikua anaweza kutoa amri kwa baadhi ya watu wasionekane Dar es salaam.
Lakini sasa haijulikani Yuko wapi,anafanya nini.
Alikua governor aliishi kifahari ofisini Hadi nyumbani.
Alilalamikiwa Sana lakini hakuguswa,waliomshitaki waiiadhibiwa wao. Hata Waziri wa mambo ya nje wa USA alivyomtuhumu lakini hakuondolewa. Tena tuhuma nzito kabisa za kunyang'anya haki za watu za kuishi lakini hakuondolewa.
Asante Sana TISS kwa kumpigia fix Kisha akaenda kugombea ubunge akashindwa na aliporudi akakuta kiti chake kakaa mwingine.
Leo hii Makonda ana hofu,sijua kama Bado Pasi yake anayo au kakabidhi.
Makonda alichaguliwa kuwa Mkuu wa Wilaya mara tu baada ya kumzaba vibao Waziri Mkuu mstaafu anaeheshimiwa na watu wengi mzee Warioba.
Makonda akawa Mkuu wa Mkoa,
Akafanya mengi mazuri na mengine sio mazuri.
Akataja wauza na watumia madawa ya kulevya,
Akamtaja mtoto wa aliemteua kuwa Mkuu wa Wilaya ,Mbowe,Gwaji boi na wengine wengi.
Makonda akataja wanaume waliotelekeza watoto,akamtaja
Waziri Mkuu mstaafu Lowasa na watu wengine.
Makonda alikua na mengi bana mengine mtaongezea.
Sasa kwa hali ya kawaida Makonda hawezi kuwa na raha, kwa sababu hana mahali pa kufanya mambo ya kuonekana.
Lakini kubwa zaidi ni jinsi anayolinganishwa na jambazi sugu sabaya.nasema jambazi kwa sababu Mahakama tayari imethibitisha hilo.
Mungu fundi.
Subir tarehe 3 DecemberHakika aliwatia adabu haswa!
Mtoto mashallah walah mtoto yule makonda hanjazanjazaMswalie mtume!!!
Sawa mama Keaganhamna cha kumfanya makonda .........hizo ni akili za bavicha