T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Haiingii akilini mwangu. Unataka kusema Kikwete alikuwa anakubaliana na Jaji Warioba kwenye suala la katiba?Naomba nikusahihishe kidogo hapa.
Mh Makonda hakumshambulia Mzee Warioba. Ni mpango mkakati ulikuwa umepangwa ili kumharibia Makonda.
Ni kwamba zile fujo hazikutokea kwa bahati mbaya, zilikuwa zimepangwa kabla ya mkutano na wajanja wachache ambao walijua fika kabisa kuwa fujo hizo zitakapotokea, lazima Mh. Makonda akili yake itakuwa ni kumuwahi Mzee Warioba kwa ajili ya kumkinga ili asidhurike. Kwa hiyo kuna watu walikuwa wamejiandaa kwa ajili ya kumfanyia timing hiyo kwamba pindi atakapoonekana tu anaanza kuchukua uelekeo wa kwenda kumsaidia mzee Warioba, task force hiyo itumie nguvu za ziada za kum-bump na kumsukumiza Mh. Makonda ili akambamize Mzee Warioba badala ya kumuokoa. Hii nchi nyie bado haijaifahamu vizuri
Makonda hawezi kuwa mtu wa Kikwete na Magufuli, halafu wakati huo huo tena akawa adui wa Jaji Warioba, na mwenye kudhihirsha uadui huo kwenye umati wa watu; hiki kitu hakipo hapa duniani
Kama kuna genge lilitumwa kumdhibiti Jaji ni nani yuko nyuma ya genge hilo kama haikuwa CCM, na ni nani Mwenyekiti wa CCM wakati huo kama sio Kikwete. Usitake tuamini kuna wahuni waliamua wamvamie Jaji bila kibali kutoka juu. No one can dare!
We come into conclusion that. Kikwete hakutaka katiba mpya, Jaji Warioba alitaka katika mpya hivyo alikuwa kinyume na Kikwete, waliomvamia Jaji hatujui walitumwa na nani ila Makonda mmoja wapo alipewa ukuu wa wilaya na Kikwete.