Katika hali ya kawaida Makonda hana raha kabisa

Haiingii akilini mwangu. Unataka kusema Kikwete alikuwa anakubaliana na Jaji Warioba kwenye suala la katiba?

Kama kuna genge lilitumwa kumdhibiti Jaji ni nani yuko nyuma ya genge hilo kama haikuwa CCM, na ni nani Mwenyekiti wa CCM wakati huo kama sio Kikwete. Usitake tuamini kuna wahuni waliamua wamvamie Jaji bila kibali kutoka juu. No one can dare!

We come into conclusion that. Kikwete hakutaka katiba mpya, Jaji Warioba alitaka katika mpya hivyo alikuwa kinyume na Kikwete, waliomvamia Jaji hatujui walitumwa na nani ila Makonda mmoja wapo alipewa ukuu wa wilaya na Kikwete.
 
Kikwete kama Rais wa JMT na Mwenyekiti wa CCM kwa wakati huo, hakuwa na haja ya kumdhibiti Mzee Warioba kwa njia za kijinga na kihuni namna hii, assuming angekuwa kweli na nia hiyo. Kiwete alikuwa ana vyombo vyote vyaa dola na Serikali yote mkononi mwake, alikuwa anakosa nini cha kumfanya Jaji anyamaze hadi atumie mbinu ya kitoto namna hii?
Unamuonaje Mh JK, do you think he is as low as this? Mind you, he is also a qualified army officer. Akili nyingi tu imetulia kichwani, hawezi kufanya ujinga wa namna hii
 
Jana tu nimekutana naye mjini Hana ata stress, Mnaomjadili ndio mnaonekana na Stress [emoji28][emoji28]
 
Kudhibiti si lazima utumie nguvu kama kwa Dr. Ulimboka. Lengo ni kuzuia mchakato wa katiba ambao leading figure ni Nani Warioba na hapo hakuwa na haja kutumia nguvu nyingi kupambana na mzee wa watu.

Unasema hawezi fanya hivyo kwa njia za kijinga? Sasa hiyo njia ya kijinga ndio iko more effective kukiko hizo za kuteka watu na kung'oa kucha. Angefanya vinginevyo hapa usingekuwa unapinga, kafanya vile ndio maana unaona ni utoto hawezi fanya. Unachaguaje thug kumpa ukuu wa wilaya bila kumjua
 
BAVICHA subirini hukumu ya Gaidi Mbowe ndo akili itawaingia
 
Kwa hiyo wewe mlikuwa na Makonda na manajua zaidi. Sisi tuliona aliyengoza fujo zile ni Makonda, ila kama mlikuwa na mpango wenu wenu tofauti kabisa basi sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…