Katika harakati za uhuru wa Palestine Wakristo wa kipalestina kazi yao nini? Mbona Waislam wa kipalestina wamechachamaa zaidi ?

Kuna watu ni mapoyoyo sana.
Hao wasilamu wanataka hata kumfuta Ziraili huko Israel.
Sasa huyo mkristo wa Palestina si mnyonge tu.
 
Mtu akiufuata uislamu mbinguni asahau maana uislamu unahamasisha mauaji na uovu kwa wasio waislamu.
 
Kama hao Wakiristo ni Design ya Malasusa unategemea nini???
 
Kama hao Wakiristo ni Design ya Malasusa unategemea nini???
 
Kele Israel wakristo wapo kama digidigi hawatakiwi na wayahudi Wala waislam wapo wapo tu
 
Kele Israel wakristo wapo kama digidigi hawatakiwi na wayahudi Wala waislam wapo wapo tu
Mashariki ya kati hakuna wakristo design ya wa huku tuliozoea wengi ni orthodox na wakijichanganya huwezi jua maana wengi wana mila sawa tofauti na ukristo wa kimagharibi ulioenea sehemu nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…