Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #61
Mwaka haujaisha toka serikali chini ya CCM iingie katika maridhiano na wapinzani.Mwaka haujaisha kwenye nini Boss?
Siwaamini wanasiasa nauamini ukweliUsipende kuwaamini sana wanasiasa, maana kuna siku watakwambia ukinichagua mimi nitahakikisha unaishi maisha yako yote bila kufa. Na wakati kiuhalisia hakuna mwanadamu anaeweza kuishi bila kufa akiwemo yeye mwenyewe mwanasiasa husika.
Mimi ni mtanzania na Chadema ni ya watanzania.Wewe mwana CCM una Maslahi yepi na Mbowe Hadi umwone Lissu Hana ADABU?
Pambana na RUSHWA ndani ya chama chako kwanza.
Hapa nimekuelewa kwa namna fulani.Kwa taarifa yako huko CDM tuko kwa kufuata misimamo yake na sio mtu, ndio maana akina Slaa na Zito walitoka kama wao. Hata huyo Mbowe akianza kwenda kinyume na misimamo ya chama atabaki huko chamani na anaokubaliana nao. Pressure ya Lisu kwenye hayo maridhiano itasababisha maridhiano yasiwe na hila, ila kila mmoja akikaa kimya kutaingizwa maridhiano yenye hila ndani yake. Anachofanya Lisu kitasaidia sana haya maridhiano yasiwe ya kuburuzana.
Ok lets wait to see kile kitachofanyika.SUK itufunze kuwa CCMM hawana jadi ya kuheshimu maridhiano na makubaliano.
Uchaguzi wa marudio majuzi wameendelea kupora uchaguzi bila kuheshimu terms za SUK.
Tupambanie Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya na tuhakikishe uchaguzi haufanyiki bila mambo hayo muhimu kupatikana.
Kumbuka na hii ya dikteta uchwara akiyapokea kwa heshima zote za chama majizi yaliyokimbilia ChademaUsipende kuwaamini sana wanasiasa, maana kuna siku watakwambia ukinichagua mimi nitahakikisha unaishi maisha yako yote bila kufa. Na wakati kiuhalisia hakuna mwanadamu anaeweza kuishi bila kufa akiwemo yeye mwenyewe mwanasiasa husika.
Moyo wa mtu ni msitu. Kwahiyo ni vigumu kila linalosemwa na mtu likawa na ukweli.Siwaamini wanasiasa nauamini ukweli
Nimesema mimi nauamini ukweli siyo maneno ya mtu.Moyo wa mtu ni msitu. Kwahiyo ni vigumu kila linalosemwa na mtu likawa na ukweli.
Labda kama umeamua kuamini asemacho mtu bila kujali kuwa lisemwalo ni la kweli au uongo.
Kwann umeficha identity Yako ya CCM?Mimi ni mtanzania na Chadema ni ya watanzania.
Pia chama hicho wakiwepo viongozi wao wanapokea ruzuku ambayo ndani yake kuna kodi yangu, so hakuna mtu wa kunizuia kuhoji.
Wewe anzisha chama chako ambacho utakiendesha kwa hela zako uone kama mimi nitakuja kuhoji kuhusu uendeshaji wako.
Labda Mbowe ndie anaemtuma kupitia mlango wa nyuma ili alete amsha amsha katika maridhiano yao.Mbowe kakomaa kiakili na kisiasa. Sio mtu wa kukurupuka na kuanza kujibiza na watu aina ya kina Lisu mikutanoni.
Anachofanya Lisu ni sawa sawa na kelele za mpangaji kwa mwenye nyumba tu.
Naamini hao viongozi wengine uliowataja wana hekima, hawawezi kujitia uchizi alionao Lissu waanze kumjibu, wanajua wakifanya hivyo ndio watakuwa wanazidi kukivua nguo chama chao, muhimu Lissu aachwe aropoke tu akichoka atanyamaza.Lisu huwa anapenda aonekane kuwa yeye ndio mwenye mawazo chanya chamani, na kwamba viongozi wengine wote hawana uwezo au ujanja wa kuona yale anayoyaona yeye.
Swala la katiba mpya na mengineyo yapo katika mchakato. Na tayari tumeshasikia kwamba raisi kaagiza viongozi wanaohusika na swala hilo la katiba waanza kufanyia kazi yale yanayohitajika. Hiyo ni hatua nzuri ambayo kwa muda wa miaka zaidi ya 7 hatukuishuhudia, wala kufikiria kuishuhudia.
Sasa sijui Lisu anataka raisi afanyaje?
Lakini pia kuna taratibu za kichama ambazo mtu unatakiwa kuzifuata ili kuufikisha ujumbe wako na kufanyiwa kazi na viongozi husika. Sasa yeye hizo taratibu hakupenda kuzifuata na badala yake kaanza kuandaa mikutano ili apate namna ya kuongelea mabaya ya viongozi wenzake kwamba wamefanya maamuzi ya kijinga na kwamba yeye ndio mjanja asiekubaliana na maamuzi yale.
Mwisho wa siku Mbowe, Mnyika au Lema uvumilivu utawashinda na wao waanze kumjibu majukwaani au mitandaoni. Chama kigawanyike kuhusu maridhiano hayo na maridhiano yafe na nchi irudi kule kule kwenye siasa za uhasama, mikutano ifungiwe tena na nchi irudi katika mfumo uliyokuwepo miaka iliyopita.
SUK itufunze kuwa CCMM hawana jadi ya kuheshimu maridhiano na makubaliano.
Uchaguzi wa marudio majuzi wameendelea kupora uchaguzi bila kuheshimu terms za SUK.
Tupambanie Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya na tuhakikishe uchaguzi haufanyiki bila mambo hayo muhimu kupatikana.
Kama hivi ndivyo kwanini Lissu anahangaika kuwalaumu wenzake chamani? anawachorea ramani waonekane kama wepesi waliokubali kutongozeka mbele ya Samia....CCM ndio kikwazo cha kukamilika kwa maridhiano.
..tutawalaumu Mbowe na Lissu lakini tunajua tatizo liko CCM.
Mwaka haujaisha toka serikali chini ya CCM iingie katika maridhiano na wapinzani.
Kwahiyo hakuna sababu ya kuanza kulalamika na wakati maswala yao yanafanyiwa kazi.
Ikifika mwaka au zaidi hapo ndo itakuwa ruhusa makamu huyo kuanza kukilaumu chama chake na viongozi wake kuhusu maridhiano hayo.
Mwaka haujaisha toka serikali chini ya CCM iingie katika maridhiano na wapinzani.
Kwahiyo hakuna sababu ya kuanza kulalamika na wakati maswala yao yanafanyiwa kazi.
Ikifika mwaka au zaidi hapo ndo itakuwa ruhusa makamu huyo kuanza kukilaumu chama chake na viongozi wake kuhusu maridhiano hayo.
Hawa jamaa hawajui hii michezo yao ya kufunika moto kwa shuka imeanza siku nyingi sana, malumbano mengi Chadema mwanzo wake mpaka mwisho wake niliyaona, mfano lile la Zitto.Wachache mno tena wenye uelewa mpana wa maswala ya kisiasa ndo wataelewa kile ulichoandika.
Ila kwa wale wenzangu na mie walioanza kujifunza siasa mwaka 2010 na kuendelea kwa kweli itakuwa ngumu sana kuona kile ulichoandika.
Kama hivi ndivyo kwanini Lissu anahangaika kuwalaumu wenzake chamani? anawachorea ramani waonekane kama wepesi waliokubali kutongozeka mbele ya Samia..
Kama tatizo liko CCM, apeleke shutuma zake huko kwa 100% but not otherwise.
Lissu hapingi maridhiano.
..Lissu anatetea maridhiano yenye tija.
Tuna imani na Lisu na sio hayo maridhiano ya kitapeli ya Mbowe
..Lissu angejikalia nyumbani kwake usingesikia makelele haya dhidi yake.
Leo Lissu yuko barabarani yameibuka makundi ya kila aina kumshambulia.
Sasa kwanini hakukaa na viongozi wenzake wakajadiliana kuhusu mambo hayo, badala ya kuanza kuzunguka nchi nzima kuyananga maridhiano hayo.
kuanza kulaumu maridhiano ambayo bado yapo kwenye hatua ya kufanyiwa kazi
Hakuna haja ya kuendekeza maridhiano ya kupotezeana muda. Lisu anaweka msisitizo kuwa hayo maridhiano yana walakini,
Lisu hakutumia njia nyingine za kichama kuelezea madai yake,
Umejuaje kuwa hayo maridhiano ni makubaliano ya chama?
sisi wafuasi wengine tutasimama na anayesimamia tunachotaka sio porojo za maridhiano
Anayozungumza Lissu yana baraka zote za chama.
CDM hakuna mgogoro, Lissu anajaribu kuwakumbusha Sugu na wenzie kuwa KATIBA mpya ndo kipaumbele, ubunge ndo ufuate.
Ukimsikiliza Lissu anavyoongea unamuona kabisa ametawakiwa na ujuaji, mihemko,
Usipende kuwaamini sana wanasiasa, maana kuna siku watakwambia ukinichagua mimi nitahakikisha unaishi maisha yako yote bila kufa.
tutawalaumu Mbowe na Lissu
Majizi kupokelewa kwenye chama cha siasa sio tatizo, tatizo ni kuyaweka katika serikali.Kumbuka na hii ya dikteta uchwara akiyapokea kwa heshima zote za chama majizi yaliyokimbilia ChademaView attachment 2617000