Katika hili, nafikiri marehemu Ruge hakuwa mstaarabu

Tukisema tuanze Kuchunguzana kwa kila Dhambi zetu huenda tukaja kugundua kuwa Wewe ndiyo una Dhambi nyingi na za Hatari kuliko hata hizi chache za huyu Marehemu Ruge Mutahaba.

Na Waswahili tuna tabia moja ya Kipumbavu ya kupenda Kuamini kila tunachokisikia na Kukariri Maisha. Kwa mfano wengi Wetu tunamuhukumu Marehemu Ruge kuwa alikuwa ni 'Mpenda Mbunye' kwakuwa tu tumekaririshwa kuwa Wahaya wanazipenda.

Na usichokijua tu ni kwamba 75% ya Mademu aliokuwa 'akiwabandua' walikuwa 'Wakimshobokea' Wenyewe hata kama hakuwa na haja nao na Mimi nilisifu na kupenda mno jinsi alivyokuwa 'akiwabandua' bila Huruma kwani ndicho walikuwa wakikitaka. Ukichezea Koki ni lazima Utalowa tu Kudadadeki.

Mwisho jifunze kuwa na Adabu za Kiafrika kuwa Mtu akishatangulia mbele za Haki huwa hatusemi tena mabaya yake bali huwa tunahubiri Mema na Mazuri yake ili Vizazi vilivyopo vijifunze.

Hukumu dhidi ya Mabaya / Mapungufu yake huwa tunamuachia Mwenyezi Mungu kwakuwa Yeye pekee ndiyo ajuaye ukubwa wa Dhambi zetu Sisi Wanadamu na pia atuadhibu ( atuhukumu ) kwa Kiwango gani.
 
THT pale katembea na mabinti kibao. Na wengine kazaa nao kabisaa

Clouds pia ametembea na wafanyakazi wake.

Ruge alikuwa anatumia cheo chake kutembea na wafanyakazi wa kike
Basi alikuwa anafanya vizuri tuu maana alikuwa anawaongezea vipata hao wafanyakazi wake.
 
Lakini usitumie nafasi uliyonayo kuwatumia kingono watoto wa watu. Kama unawatumia watu dhaifu kwa kujifurahisha kimwili huo ni uchafu.
Kula mbususu wewe kwa kutumia nafasi yako maana usipo kuwa na nafasi hawa warembo wanakuwa na nyodo sana. Narudia marehemu alifanya vyema sana. Ni mfano wa kuigwa kwa wanaume wote
 
Waafrika walikuwa/wanaamini mtu akifa anakuwa mzimu. Na mzimu huo ukikasirika unaweza kukudhuru. Hivyo ilikuwa muhimu kuufurahisha. Walipalilia/wanapalilia makaburi, wanafanya matambiko na 'Kusifu wafu kinafiki' huku wakiepuka kuwasema vibaya. Yote hayo ili mizimu isiwadhuru.

Hivyo, kabla hujashika maadili sijui nini, jiulize yalikotoka. Usifanye mambo sababu umeona wengi wanafanya.
 
THT pale katembea na mabinti kibao. Na wengine kazaa nao kabisaa

Clouds pia ametembea na wafanyakazi wake.

Ruge alikuwa anatumia cheo chake kutembea na wafanyakazi wa kike
Kwani alikuwa anawabaka au wanavua wenyewe?. Unamlaumu mwendazake bure tu.
 
We jamaa umeongea vitu vizito sana
 
mkuu wewe yule Ana wa kule kijiji cha jirani na picha ya Ndege tayari anamtoto wako tafadhari peleka japo sabuni mtoto anapata shida
 
Kama hujabaka basi kula mbususu lazima kuwe na ushawishi...na ukiona unashobokewa jua ushawishi wako uko next level.

Ruge alishobokewa au kubaliwa kirahisi sababu ya akili zake, nafasi yake, fedha zake etc....
 
Nenga kwa sasa yuko vizuri kifedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…