Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hizi Races

Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hizi Races

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Huwa sipendi kabisa kuzungumzia Dini. Sababu mimi nimeshaitwa majina mengi sana. Ila huwa sijali mzee wangu ni Al Haj, Sheikh ila si Sheikh njaa. Anakazi na miradi yake mingi tu.

Mimi huwa wanasema nina asili ya uasi. Yaani pamoja na kuzaliwa katika Dini bado nina ishi kama kafri/kafir. Sababu ni kweli huwa mara moja moja nakula kitimoto.

Sipendi unafiki sababu namjua mzee hali kitimoto ila huwa naye ana issues zake. Anawakamua sana mabinti. Hanywi pombe lakini mtu ambaye akikusomea mistari flani unaweza ondoka hivi hivi. Mtu wa Dini sana.

Mimi nimefanikiwa kufanya kazi na Wazungu wawili tofauti na waarabu rafiki zake Mzee kama watatu na Mhindi mmoja. Kiukweli ktik hao wote wazungu makafir ndiyo ambao walikuwa wananiheshimu na wanalipa vizuri.

Wale waarabu wangu sababu ya mzee tu walikuwa wananionea aibu lakini kwa wafanyakazi wengine walikuwa wananyanyaswa sana. Hasa ambao si Waislamu. Walinyanyasika sana. Na hawa waliajiriwa tu kwa kuwa hakukuwa na wenzetu wenye uwezo wao.

Mmoja huyu alikuwa wa Dubai angalau alikuwa na madhaifu yake lakini anajali somehow ukilinganisha na wenzie. Jamaa hawa ni wakatili muda pekee unaweza enjoy ni kipindi cha Ramadhan. Hapo walikuwa angalau wanatupa na tende tukale sabab zilikuwa zinaletwa nyingi sana.

Wazungu si malaika ila katika kazi walituheshimu sisi waswahili na kutulipa kwa wakati na likizo tuliambiwa ni lazima huku tukilipwa bila tatizo. Mhindi yeye ndo alikuwa anachukia sana likizo. Sana. Ingawa alikuwa ni swala tano. Alitunyanyasa kwenye malipo na kututafutia sababu ya kutuka mshahara.

Ila naye tunashukuru wakati wa mfungo alitupa tende,mchele na sukari. Ila mfungo ukiisha alikuwa na matusi kama kawaida mpaka siku nlipofungiana naye ndani. Nlifunga mlango ofisini nikamwambia sasa anieleze vizuri mama yangu alikuwa anafanya kazi katika kitengo gani pale kazini. Baada ya kuwa amemtaja kwa dhihaka.

Aliomba msamaha maana nlikuwa nmefunga mlango na nimemkaba nataka mtoa roho mbwa yule.akanilipa mishahara mitatu akasema asinione tena kwake. Na kwa kuwa mtakaba ulikuwa umeisha nikasema poa tu maana tungepeana kesi.

Mimi mkija hapa na imani za wenzenu (maana wazungu na waarabu ndo wana imani ninyi ni watumwa tu au mateka) nitawababua kishenzi mi huwa nazisoma Dini zote sasa leteni wazimu wenu muone.
 
Christian especially wazungu wana utu sana we angalia hata wakimbizi wengi wanaenda ulaya

Asia wengi ni wahuni especially waarabu ovyo kabsaa
Check wasichana wakaz wakienda Arabs country
Shenz kabsaa wale jamaa wachafu kinoma kuna mmoja nlimpa kipigo cha mbwa koko kavimba hatariiii nikasepa zangu
JamiiForums2047296491.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Waarabu wako tofauti sana na uislam unavyotaka sijui kwanini

Uislam unataka mtu anapokufanyia kazi umlipe fasta kabla jasho halijakauka lkn waarabu ni wasumbufu utasema dini hawaijui

Wazungu kwenye malipo na kuheshimu mkataba wa kazi wapo vizuri sana, hata malipo yao yapo vizuri tofauti na waarabu

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Hili ni kweli hapo huwa nashindwa kuelewa kwa nini hawa Makafir wawe tena wanajali jasho la mtu kuliko sisi waja waungwana.
 
Asili ya Asia ni roho mbaya sana kutokana na walivyo ni sawa na hapa bongo hata umkute muislamu wa kibena au mchaga utakuta anakunywa pombe na utapeli kama kawaida iyo ni asili yao . Kule america na Europe hawanaga asili hizo coz wale ni matajiri tangu kitambo .

Sema waarabu na wahindi hata mm nakuunga mkono ila uislamu unasema "mpe ujira mfanyakazi kabla jasho lake halijakauka" .Nakuunga mkono

Binafsi Nina rafiki yangu ni mtu wa kibosho ni muislamu anaswali ila akipenda kwao anakula kitimoto na pombe anakunywa .point yangu kila kitu ni asili dini zipo tu ila asili Ina matter mno .
 
Dini ni KANSA kubwa sana iliompata binadamu.
Watu wanadhani dini imekuwepo tokea binadamu awepo...Wakati dini ya zamani kabisa kuliko zote (Zoroastrianism) ni ya juzi juzi TU (Miaka 7000 iliyopita)...wakati binadamu tuna zaidi ya Miaka laki 2 hapa duniani.
Lakini msijali....Miaka ya mbele hizi dini zitabaki kwenye vitabu vya historia TU.
 
Na hili ndio tatizo la members wengi hukurupuka kujibu ama kuunga mkono hoja iliyotolewa na mleta mada bila kujua dhumuni la mada yake, tumuogopeni sana Mwenyezi Mungu ndugu zangu, msipende kuchangia/kuunga mkono hoja bila kujua ukweli.

Hapo anaelengwa si mwingine bali ni Muislamu/mwarabu, msipokua makini na huu uzi mtajiingiza kwenye dhambi ndugu zangu.

Ahsante, jioni njema wananzengo.
 
Leo umeanza kuongea sense..kiufupi hizi imani nitamaduni za watu..shida sisi waafrika tulizibeba kama zilivyo bila kujua hizo ni tamaduni zao.

Binafs siwezi acha asili yangu kisa dini za kuletewa..wale wana miungu yao na sisi tuna miungu yetu...kwanini tuache miungu yetu na asili yetu..sijawahi ona mantiki kabisa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Dini ni KANSA kubwa sana iliompata binadamu.
Watu wanadhani dini imekuwepo tokea binadamu awepo...Wakati dini ya zamani kabisa kuliko zote (Zoroastrianism) ni ya juzi juzi TU (Miaka 7000 iliyopita)...wakati binadamu tuna zaidi ya Miaka laki 2 hapa duniani.
Lakini msijali....Miaka ya mbele hizi dini zitabaki kwenye vitabu vya historia TU.
I wish hii siku ije..dini ni upuuzi kama upuuzi mingine tena kwa miafrika ndio imekuwa ujinga na uchizi ulopitiliza.

#MaendeleoHayanaChama
 
Na hili ndio tatizo la members wengi hukurupuka kujibu ama kuunga mkono hoja iliyotolewa na mleta mada bila kujua dhumuni la mada yake, tumuogopeni sana Mwenyezi Mungu ndugu zangu, msipende kuchangia/kuunga mkono hoja bila kujua ukweli.

Hapo anaelengwa si mwingine bali ni Muislamu/mwarabu, msipokua makini na huu uzi mtajiingiza kwenye dhambi ndugu zangu.

Ahsante, jioni njema wananzengo.
Vyema ukakojoe ulale..

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom