Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hizi Races

Huwa sipendi kabisa kuzungumzia Dini. Sababu mimi nimeshaitwa majina mengi sana. Ila huwa sijali mzee wangu ni Al Haj, Sheikh ila si Sheikh njaa. Anakazi na miradi yake mingi tu.

Mimi huwa wanasema nina asili ya uasi. Yaani pamoja na kuzaliwa katika Dini bado nina ishi kama kafri/kafir. Sababu ni kweli huwa mara moja moja nakula kitimoto.

Sipendi unafiki sababu namjua mzee hali kitimoto ila huwa naye ana issues zake. Anawakamua sana mabinti. Hanywi pombe lakini mtu ambaye akikusomea mistari flani unaweza ondoka hivi hivi. Mtu wa Dini sana.

Mimi nimefanikiwa kufanya kazi na Wazungu wawili tofauti na waarabu rafiki zake Mzee kama watatu na Mhindi mmoja. Kiukweli ktik hao wote wazungu makafir ndiyo ambao walikuwa wananiheshimu na wanalipa vizuri.

Wale waarabu wangu sababu ya mzee tu walikuwa wananionea aibu lakini kwa wafanyakazi wengine walikuwa wananyanyaswa sana. Hasa ambao si Waislamu. Walinyanyasika sana. Na hawa waliajiriwa tu kwa kuwa hakukuwa na wenzetu wenye uwezo wao.

Mmoja huyu alikuwa wa Dubai angalau alikuwa na madhaifu yake lakini anajali somehow ukilinganisha na wenzie. Jamaa hawa ni wakatili muda pekee unaweza enjoy ni kipindi cha Ramadhan. Hapo walikuwa angalau wanatupa na tende tukale sabab zilikuwa zinaletwa nyingi sana.

Wazungu si malaika ila katika kazi walituheshimu sisi waswahili na kutulipa kwa wakati na likizo tuliambiwa ni lazima huku tukilipwa bila tatizo. Mhindi yeye ndo alikuwa anachukia sana likizo. Sana. Ingawa alikuwa ni swala tano. Alitunyanyasa kwenye malipo na kututafutia sababu ya kutuka mshahara.

Ila naye tunashukuru wakati wa mfungo alitupa tende,mchele na sukari. Ila mfungo ukiisha alikuwa na matusi kama kawaida mpaka siku nlipofungiana naye ndani. Nlifunga mlango ofisini nikamwambia sasa anieleze vizuri mama yangu alikuwa anafanya kazi katika kitengo gani pale kazini. Baada ya kuwa amemtaja kwa dhihaka.

Aliomba msamaha maana nlikuwa nmefunga mlango na nimemkaba nataka mtoa roho mbwa yule.akanilipa mishahara mitatu akasema asinione tena kwake. Na kwa kuwa mtakaba ulikuwa umeisha nikasema poa tu maana tungepeana kesi.

Mimi mkija hapa na imani za wenzenu (maana wazungu na waarabu ndo wana imani ninyi ni watumwa tu au mateka) nitawababua kishenzi mi huwa nazisoma Dini zote sasa leteni wazimu wenu muone.
Ungemalizia tu unakula kitimoto na ushoogger hivi vitu haviachani
 
Ww sio muislam...Ila umetaka kutuaminisha wazungu ni Bora ...mbona jiwe alikuwa anawaita mabeberu kwa kutunyonya madini yetu?
 
Leo umeanza kuongea sense..kiufupi hizi imani nitamaduni za watu..shida sisi waafrika tulizibeba kama zilivyo bila kujua hizo ni tamaduni zao.

Binafs siwezi acha asili yangu kisa dini za kuletewa..wale wana miungu yao na sisi tuna miungu yetu...kwanini tuache miungu yetu na asili yetu..sijawahi ona mantiki kabisa.

#MaendeleoHayanaChama
Mi nafuat uislamu sio waarabu ! Unachokosea ndo maana tunagombana kitu anfany mwarabu unaingiza uislamu.
 
I am spiritual not religious…naambiwa nimeasi [emoji23][emoji23][emoji23]. Several times watu wananiuliza mimi dini gani na huwa nawajibu love is my religion.
 
Attachments

  • 46F13598-C8B5-4DB0-88E8-BB97C4CD17A0.jpeg
    46F13598-C8B5-4DB0-88E8-BB97C4CD17A0.jpeg
    70.3 KB · Views: 20
Ww sio muislam...Ila umetaka kutuaminisha wazungu ni Bora ...mbona jiwe alikuwa anawaita mabeberu kwa kutunyonya madini yetu?
Ukisema si muislamu hainifanyi nisiwe na hata ungesema ni kama si isingenifanya niwe. Wazungu si malaika. Pata elimu ufahamu mfumo wa kibeberu ni nini.
 
Na hili ndio tatizo la members wengi hukurupuka kujibu ama kuunga mkono hoja iliyotolewa na mleta mada bila kujua dhumuni la mada yake, tumuogopeni sana Mwenyezi Mungu ndugu zangu, msipende kuchangia/kuunga mkono hoja bila kujua ukweli.

Hapo anaelengwa si mwingine bali ni Muislamu/mwarabu, msipokua makini na huu uzi mtajiingiza kwenye dhambi ndugu zangu.

Ahsante, jioni njema wananzengo.
Wewe mpuuzi sana. Kwa hiyo Uarabu ndo Uislamu? Uzungu ni Ukristo? Akisemwa Mwarabu unakuja mmatumbi kulia lia kuwa anasemwa mwarabu. Akisemwa mzungu aje nani? Emancipate yourself from mental slavery.bwegeeee kabisa.mtumwa mweusi.
 
Wote wale wale kwani wanaotupiga na mikataba kwenye madini huko kina nani. Na hiyo DRC isiyopoa watu wanaiba ni kina nani. In short hawa weupe miyeyusho.
 
Dini ishike na uendelee kufanya mambo yako mengine lakini usihiasi. Usiseme hatukukuambia
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
I wish hii siku ije..dini ni upuuzi kama upuuzi mingine tena kwa miafrika ndio imekuwa ujinga na uchizi ulopitiliza.

#MaendeleoHayanaChama
Mimi hizi dini sidhani kama Zina Miaka 100 mbele.

Angalia TU vijana wa siku hizi Vs wazee wa zamani.
Sikuhizi vijana hawaendi kanisani/msikitini na hawafuati mafundisho ya kidini kama wazee
Sasa fikiria wajukuu wao itakuwaje
 
Uzi umeandikwa kwa mtego, fumbo na ubunifu mkubwa sana.
Mleta mada hongera umewachota sana akili ndogo..
Siku hizi mitandao ni sehemu ya kufanya propaganda na mleta mada amelifanya hilo kwa ubunifu na weledi wa hali ya juu sana..
 
Na hili ndio tatizo la members wengi hukurupuka kujibu ama kuunga mkono hoja iliyotolewa na mleta mada bila kujua dhumuni la mada yake, tumuogopeni sana Mwenyezi Mungu ndugu zangu, msipende kuchangia/kuunga mkono hoja bila kujua ukweli.

Hapo anaelengwa si mwingine bali ni Muislamu/mwarabu, msipokua makini na huu uzi mtajiingiza kwenye dhambi ndugu zangu.

Ahsante, jioni njema wananzengo.
Hao mabwana zenu waarabu hawawaonei huruma kabisa,yaan ukihoji tuu kuhusu uislamu na uarabu unapata dhambi [emoji848][emoji849]
 
Hivi Nini tofauti ya Utamaduni wa kiarabu na Uislam?
Tamaduni za kiarabu zipo tangu enzi n enzi kabla hata ya kuja mitume huoni walikuwa na biashara ya utumwa tangu enzi izo mtume na uislamu ndo ulikuwa kukomesha tamaduni hizo na zipo kibao za ovyo
 
Kwani uislam unasemaje kuhusu utumwa??
Mtume mwenyewe mbona alimiliki,kuuza na kununua watumwa..?

Wale waarabu waliojenga misikiti elfu 10 pale Ujiji kigoma, si ndio hao hao waliochukua watumwa na kuwapeleka bagamoyo?
 
Tamaduni za kiarabu zipo tangu enzi n enzi kabla hata ya kuja mitume huoni walikuwa na biashara ya utumwa tangu enzi izo mtume na uislamu ndo ulikuwa kukomesha tamaduni hizo na zipo kibao za ovyo
Toa mifano ya tamaduni za kiarabu za kale (ambazo hazihusiani na ibaada) ambazo uislam ulizipinga....Namimi nitatoa mifano ya tamaduni (zikiwemo za kiibada) ambazo mtume aliziingiza kwenye Quran na Uislam
 
Back
Top Bottom