Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hizi Races

Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hizi Races

"Anakamua sana mabinti lkn n mzee wa dini sana: [emoji2][emoji2] broh! Hizi n sentensi mbili zinazokinzana. Fanya kuzipitia upya.
 
Na hili ndio tatizo la members wengi hukurupuka kujibu ama kuunga mkono hoja iliyotolewa na mleta mada bila kujua dhumuni la mada yake, tumuogopeni sana Mwenyezi Mungu ndugu zangu, msipende kuchangia/kuunga mkono hoja bila kujua ukweli.

Hapo anaelengwa si mwingine bali ni Muislamu/mwarabu, msipokua makini na huu uzi mtajiingiza kwenye dhambi ndugu zangu.

Ahsante, jioni njema wananzengo.
Hapa hujaijibu Hoja ndugu yangu na umekimbia kwa sababu ni ukweli mchungu sana. Nikupe mfano mdogo sana MO. Ni mwislamu mshahara anaolipa madereva wa Masafa marefu ni 220000 kwa mwezi ili hali ameongeza zaman ilikua 150000 na huyo ni tajiri no Tz. Lakin ukikutana unafanya kazi kwenye shirika la mzungu kwa hiyo Kaz ya dereva unalipwa zaidi ya mara 5 Zaid

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Huyo ni mo sio uislamu please usitaje uislamu better kumtaja hata mzazi wako !!
 
Leta ushahidi wapi alivamia naijuo historia yote kumbuka yesu aliharibu Mali za wafanyabiashara katika hekalu lile . Je wapi Muhammad aliharibu na kuvamia? leta ushahidi naslimu hapa ukileta haya umleta mchungaji wako hana ushahidi!!!
Muhammad akisikia watu wanapita na bidhaa alikuwa anawatuma wafuasi wake wakawavamie na kuchukua bidhaa...

Source: The History of Al-Tabari: The Foundation of the Community, Volume VII, pp. 21-23;
 
Attachments

  • Screenshot_20220814-171521.png
    Screenshot_20220814-171521.png
    74.2 KB · Views: 14
Ona ulivyokuwa huna akili uislamu ndo ulikuja komesha biashara ya utumwa mwanzoni ilikuwa ni tamaduni ya waarabu kama wealth kumiliki watumwa ... Rudi kwa bilal mwafrika alifika arabuni kwa utumwa sasa sikia mtume aliamrisha watu wawe wananua watumwa na kuwaaachiwa huru mmoja wapo ni bilal alinunuliwa na kuachiwa huru ili kukomesha utumwa .

Sasa we akili zako ni ndogo ipo tofauti ya waarabu na uislamu wapo waarabu wakristo na pia wapo wapagani
Tatzo lako wewe mmatumbi uwelewa wako ni mdogo. Mtoa mada kasema hao warabu ni waislamu na wanaswala 5. Na wewe unaongea ya kwako tu

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Muhammad akisikia watu wanapita na bidhaa alikuwa anawatuma wafuasi wake wakawavamie na kuchukua bidhaa...

Source: The History of Al-Tabari: The Foundation of the Community, Volume VII, pp. 21-23;
😅😅😅 Kwa wewe ni wale wa upinde wa mvua ntaka kutoka kweny qur ana bible sio vitabu hata Ontario anacho cha kutunga leta mwandishi hapa tuone kati ya wale maswahaba
 
"Anakamua sana mabinti lkn n mzee wa dini sana: [emoji2][emoji2] broh! Hizi n sentensi mbili zinazokinzana. Fanya kuzipitia upya.
Embu tafuta mtu wa dini asiyefanya dhambi yoyote, Hadanganyi,Haibi, hanywi pombe, hazini, Hatukani nk.
 
Tatzo lako wewe mmatumbi uwelewa wako ni mdogo. Mtoa mada kasema hao warabu ni waislamu na wanaswala 5. Na wewe unaongea ya kwako tu

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Ila haihusiani na uilsamu kwa nn unahusianisha na uislamu mo ni binadamu ana tapeli ana dhulumu ila uislamu haufundishi ivyo !!! umenielewa we jamaa wa upinde wa mvua
 
Hahaha Yani umetoka kumtaja sahih Bukhari mda so mrefu halafu saivi unataka vya maswahaba TU???
Kwa taarifa yako hakuna hata kitabu kimoja cha swahaba yeyote.

Hivi wewe ni muislam kweli kama hata Al-Tabari huijui???
Al Tabari ni more credible kuliko hata huyo Sheikh Bukhari
Sikiliza ulivyokuwa mjinga na fala sio unajua zipo hadihi sahili na masimulizi ya ovyo Kama unayoleta nitajie wale waimam wakuu then uje na huo ujinga wako
 
Kasome kitabu icho ni masimulizi unataka page na hadithi
Ni sawa na Mimi niseme Yesu alikuwa na Mikono minne...uniulizie ushahidi, nikuambie kasome biblia.
Uniulizie ukasome biblia kitabu kipi au page Gani.
Nikuambie ..kaisome biblia yote.

Acha kuruka ruka mzee...umesema mtume alipinga utumwa...weka ushahidi..Hiyo Bukhari nimeanza kuisoma kabla hujazaliwa
 
Nimekupa kitabu Hapo juu umeenda kufuata au

Back
Top Bottom