Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hizi Races

Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hizi Races

Mi nafuat uislamu sio waarabu ! Unachokosea ndo maana tunagombana kitu anfany mwarabu unaingiza uislamu.
Chief hatugombani bali tunapishana falsafa..pia tunajaribu kuziweka katika mzani.

Huwezi utenganisha uslamu na tamaduni za waarabu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mimi huwa nawachana live nikiona anasemwa vibaya mwarabu,, kwao mwarabu ni mbaya ila mzungu kwao ni bora.
Wewe utakua warabu koko wa pemba...mana wao hujiona ni waarabu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Dini ni KANSA kubwa sana iliompata binadamu.
Watu wanadhani dini imekuwepo tokea binadamu awepo...Wakati dini ya zamani kabisa kuliko zote (Zoroastrianism) ni ya juzi juzi TU (Miaka 7000 iliyopita)...wakati binadamu tuna zaidi ya Miaka laki 2 hapa duniani.
Lakini msijali....Miaka ya mbele hizi dini zitabaki kwenye vitabu vya historia TU.
Huu ujinga mwingine wa nyinyi watu. Nikikuuliza ushawahi kuthibitisha ukweli wa hili jambo ?

Nani alikwambia kama binadamu tuna zaidi ya miaka laki 2 unaweza kuthibitisha hili ?

Hiyo dini ya kwanza yenye miaka 7000 muanzilishi wake ni nani ? Ifikie hatua muwe mnaandika mambo kielimu.
 
UnaeLewa kilichoandikwa au unatafsiri tu juu mfano mtumwa iliyotumika kama vile tunavyosema sisi ni servants wa mungu yaani mtumishi ndo ivyo anavyosema labda mchunganji ni kondoo wangu hana maana ya wanyama
Nakuja katika kuipa "ranson" nilikuja nikutolea mfano unamlipia mtumwa kutoka kwa mmiliki wake then unamwachi uhuru rejea kwa bilal

K
ingime izo biashara alizikuta na wengi wa watumwa walikuwa ni "captive" yaani mateka ya vita ilikuwa sio rahisi kabisa kuwaachia bila ya kulipa kitu kwa wamiliki ,

Rudia ukasome vizuri usiseme Aya za kutafuta


Katika biblia mungu kaitwa mpumbavu

Ukishuka utaona biblia imesapat utumwa

Rejea" Wakati mmiliki wa mtumwa anawapiga mtumwa au mwanamke mwenye fimbo na mtumwa hufa mara moja, mmiliki ataadhibiwa. Lakini ikiwa mtumwa anaishi siku moja au mbili, hakuna adhabu; kwa mtumwa ni mali ya mmiliki. ( Kutoka 21: 20-21). kama mmiliki atampiga mtumwa na hatokufa ndani ya siku mbili basi ni halali yeye kummiliki
unahitaji kujitoa sana akili kutetea kitu ambacho ni obvious.

Muhammad alikuwa na watumwa wakike kwa wakiume.


Kama unabisha nije na aya + hadithi hapa inayothibitisha hicho.
 
Mimi huwa nawachana live nikiona anasemwa vibaya mwarabu,, kwao mwarabu ni mbaya ila mzungu kwao ni bora.
Jf kuna watu wajinga sijapata kuona. Yaani unakuta vijana hawajui dini wanapayuka payuka tu. Hivi kuna bora kuzidi Uislamu ? Tukasema haya mambo tuyajadili kwa ukweli na insafu ? Dini imekuja kuwatoa watu katika unyama, leo anakuja mjinga anadai dini ni kansa ?
 
Kwahyo

Kwahyo hapa Hawa jamaa walikuwa wanataka wakabake Hawa watumwa..ila wakawa wanabishana maana walikuwa wanataka wakiwa wanabaka wasiwamwagie Kwa ndani ili wasiwape Mimba (coitus interruptus ni kuchomoa ukitaka kupiz) Maana ni ngumu kumuuza mtumwa mwenye mimba.

Bukhari Vol 5 #459 "Abu said, "We went out with Allah's messenger for the Ghazwa (attack) upon Banu Mustaliq and we received captives from among the Arab captives and we desired women and celibacy became hard on us and we loved to do coitus interruptus. So when we intended to do coitus interruptus we said "How can we do coitus interruptus without asking Allah's messenger while he is present among us?" We asked (him) about it and he said "It is better for you not to do so, for if any soul is predestined to exist, it will exist.""

Sasa unaona kwenye mabishano kuhusu kumwaga nje, wakamfata Muhammad kumuuliza, yeye akawajibu wasimwage nje, "maana kama mtu aliandikiwa kuzaliwa atazaliwa TU"


Hawa 'watumwa' wanaojadiliwa jinsi ya kubakwa walikuwa ni watumwa Kwa maana ipi?
Ni Kwa maana uliyoisema??
Yani watumishi wa mungu??
Huwa wanakuja na reinterpretation zao
 
Jf kuna watu wajinga sijapata kuona. Yaani unakuta vijana hawajui dini wanapayuka payuka tu. Hivi kuna bora kuzidi Uislamu ? Tukasema haya mambo tuyajadili kwa ukweli na insafu ? Dini imekuja kuwatoa watu katika unyama, leo anakuja mjinga anadai dini ni kansa ?
Kuna unyama zaidi ya kuchinja watu kwa jina la Mungu ?
 
Leo umeanza kuongea sense..kiufupi hizi imani nitamaduni za watu..shida sisi waafrika tulizibeba kama zilivyo bila kujua hizo ni tamaduni zao.
Dini siyo utamaduni kijana, hili ondoa katika akili. Dini ingekuwa tamaduni soma historia, dini imezikataa sana tamaduni za watu ambao dini imekuwa kwao, na kuzikemea. Sasa haya mambo yanataka elimu na uadilifu, siyo kisa unaweza kuandika ukaandika tu.

Dini ingekuwa utamaduni, kusingekuwa na kukemea maovu wala utaratibu wa kuabudu na kulinda akilo za watu, nasaba, mali na mfano wa hayo.

Ukute wewe unashindwa hata kutofaufisha kati ya ada, mila, desturi na tamaduni.
 
Kwahyo

Kwahyo hapa Hawa jamaa walikuwa wanataka wakabake Hawa watumwa..ila wakawa wanabishana maana walikuwa wanataka wakiwa wanabaka wasiwamwagie Kwa ndani ili wasiwape Mimba (coitus interruptus ni kuchomoa ukitaka kupiz) Maana ni ngumu kumuuza mtumwa mwenye mimba.

Bukhari Vol 5 #459 "Abu said, "We went out with Allah's messenger for the Ghazwa (attack) upon Banu Mustaliq and we received captives from among the Arab captives and we desired women and celibacy became hard on us and we loved to do coitus interruptus. So when we intended to do coitus interruptus we said "How can we do coitus interruptus without asking Allah's messenger while he is present among us?" We asked (him) about it and he said "It is better for you not to do so, for if any soul is predestined to exist, it will exist.""

Sasa unaona kwenye mabishano kuhusu kumwaga nje, wakamfata Muhammad kumuuliza, yeye akawajibu wasimwage nje, "maana kama mtu aliandikiwa kuzaliwa atazaliwa TU"


Hawa 'watumwa' wanaojadiliwa jinsi ya kubakwa walikuwa ni watumwa Kwa maana ipi?
Ni Kwa maana uliyoisema??
Yani watumishi wa mungu??
Nakuja kukkujibu in full details coz naona hata shule zero kutafsiri hujui jinsi ya kuninterprent maandiko pole sana Tena sana nakuja kwa Aya zate kujitafsiri nikutoe ujinga
 
Kuna unyama zaidi ya kuchinja watu kwa jina la Mungu ?
Kwanza tujadili jambo hili kielimu, kisha ujibu maswali nitakayo kuuliza.

1.Unyama kwako wewe unaupima vipi ?

2. Huko kuchinjwa kwa mtu ni katika hali gani ? Fafanua hili kwana kisha tujadili.
 
unahitaji kujitoa sana akili kutetea kitu ambacho ni obvious.

Muhammad alikuwa na watumwa wakike kwa wakiume.


Kama unabisha nije na aya + hadithi hapa inayothibitisha hicho.
Nakuja kukuelimisha kama ulidrop shule huelwi context ya Aya husika
 
Kwahyo

Kwahyo hapa Hawa jamaa walikuwa wanataka wakabake Hawa watumwa..ila wakawa wanabishana maana walikuwa wanataka wakiwa wanabaka wasiwamwagie Kwa ndani ili wasiwape Mimba (coitus interruptus ni kuchomoa ukitaka kupiz) Maana ni ngumu kumuuza mtumwa mwenye mimba.

Bukhari Vol 5 #459 "Abu said, "We went out with Allah's messenger for the Ghazwa (attack) upon Banu Mustaliq and we received captives from among the Arab captives and we desired women and celibacy became hard on us and we loved to do coitus interruptus. So when we intended to do coitus interruptus we said "How can we do coitus interruptus without asking Allah's messenger while he is present among us?" We asked (him) about it and he said "It is better for you not to do so, for if any soul is predestined to exist, it will exist.""

Sasa unaona kwenye mabishano kuhusu kumwaga nje, wakamfata Muhammad kumuuliza, yeye akawajibu wasimwage nje, "maana kama mtu aliandikiwa kuzaliwa atazaliwa TU"


Hawa 'watumwa' wanaojadiliwa jinsi ya kubakwa walikuwa ni watumwa Kwa maana ipi?
Ni Kwa maana uliyoisema??
Yani watumishi wa mungu??
Soma Hadithi vizuri, nyinyi kwanini huwa mnapindisha maana ? Biblia imewaathiri sana na wale wakubwa zenu, hii laana naona inawatafuna sana. laana ya kubadili maneno na maana zake.
 
Huwa nawaona hamna akili watu nyinyi. Kwanini nasema haya ? Sababu mnafikiria kama wanyama au watoto wadogo.

Hapa mpuuzi ni wewe ambaye hujui na hujui kama hujui.

Ifike mahali muwe na hoja za kujenga na kupinga juu ya dini, siyo malala miko, hizi ni tabia za kike.

Dini hamzijui lakini mnaziponda ? Hii akili ya wapi ?
Punguza hasira..wewe unayeijua hiyo dini mbona upo nasi humu jf kwa sisi ambao hatuijui hiyo dini..punguza ulimbukeni.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwenye Swala La malipo Wazungu wako Vizuri akikwambia Kesho Saa Mbili ni lazima iwe kweli wanaheshimu kazi Vizuri Njoo Kwa waarabu mnazungushana wewe ila mm kwenye pesaYangu nakuua
Ushaua wangapi?
 
Waarabu wako tofauti sana na uislam unavyotaka sijui kwanini

Uislam unataka mtu anapokufanyia kazi umlipe fasta kabla jasho halijakauka lkn waarabu ni wasumbufu utasema dini hawaijui

Wazungu kwenye malipo na kuheshimu mkataba wa kazi wapo vizuri sana, hata malipo yao yapo vizuri tofauti na waarabu

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Umenikumbusha mbali sana. Tulivyokuwa wadogo walikuwa wanakuja waarabu sijui walikuwa wanaeneza dini au la. Wanakaa msikitini hadi mwezi etc. Wale jamaa ustaarabu ziro kabisa, unafika jikoni unawakuta wanapika chapati zao bila hata mwenyeji kuwepo. Na ukisoma kwenye Quran kuna aya moja inasema usiingie nyumbani kwa mtu bila ruhusa. Sijui walikuwa wanafuata mafundisho gani
 
Kwanza tujadili jambo hili kielimu, kisha ujibu maswali nitakayo kuuliza.

1.Unyama kwako wewe unaupima vipi ?

2. Huko kuchinjwa kwa mtu ni katika hali gani ? Fafanua hili kwana kisha tujadili.
1. Mfano wa Unyama ni kumuua mwanadamu mwenzako kwa vile hamuabudu Mungu wako.

2. Kuna uhalali wowote wa kumuua mwenzako kisa hamuabudu mungu wako ?
 
Huwa sipendi kabisa kuzungumzia Dini. Sababu mimi nimeshaitwa majina mengi sana. Ila huwa sijali mzee wangu ni Al Haj, Sheikh ila si Sheikh njaa. Anakazi na miradi yake mingi tu.

Mimi huwa wanasema nina asili ya uasi. Yaani pamoja na kuzaliwa katika Dini bado nina ishi kama kafri/kafir. Sababu ni kweli huwa mara moja moja nakula kitimoto.

Sipendi unafiki sababu namjua mzee hali kitimoto ila huwa naye ana issues zake. Anawakamua sana mabinti. Hanywi pombe lakini mtu ambaye akikusomea mistari flani unaweza ondoka hivi hivi. Mtu wa Dini sana.

Mimi nimefanikiwa kufanya kazi na Wazungu wawili tofauti na waarabu rafiki zake Mzee kama watatu na Mhindi mmoja. Kiukweli ktik hao wote wazungu makafir ndiyo ambao walikuwa wananiheshimu na wanalipa vizuri.

Wale waarabu wangu sababu ya mzee tu walikuwa wananionea aibu lakini kwa wafanyakazi wengine walikuwa wananyanyaswa sana. Hasa ambao si Waislamu. Walinyanyasika sana. Na hawa waliajiriwa tu kwa kuwa hakukuwa na wenzetu wenye uwezo wao.

Mmoja huyu alikuwa wa Dubai angalau alikuwa na madhaifu yake lakini anajali somehow ukilinganisha na wenzie. Jamaa hawa ni wakatili muda pekee unaweza enjoy ni kipindi cha Ramadhan. Hapo walikuwa angalau wanatupa na tende tukale sabab zilikuwa zinaletwa nyingi sana.

Wazungu si malaika ila katika kazi walituheshimu sisi waswahili na kutulipa kwa wakati na likizo tuliambiwa ni lazima huku tukilipwa bila tatizo. Mhindi yeye ndo alikuwa anachukia sana likizo. Sana. Ingawa alikuwa ni swala tano. Alitunyanyasa kwenye malipo na kututafutia sababu ya kutuka mshahara.

Ila naye tunashukuru wakati wa mfungo alitupa tende,mchele na sukari. Ila mfungo ukiisha alikuwa na matusi kama kawaida mpaka siku nlipofungiana naye ndani. Nlifunga mlango ofisini nikamwambia sasa anieleze vizuri mama yangu alikuwa anafanya kazi katika kitengo gani pale kazini. Baada ya kuwa amemtaja kwa dhihaka.

Aliomba msamaha maana nlikuwa nmefunga mlango na nimemkaba nataka mtoa roho mbwa yule.akanilipa mishahara mitatu akasema asinione tena kwake. Na kwa kuwa mtakaba ulikuwa umeisha nikasema poa tu maana tungepeana kesi.

Mimi mkija hapa na imani za wenzenu (maana wazungu na waarabu ndo wana imani ninyi ni watumwa tu au mateka) nitawababua kishenzi mi huwa nazisoma Dini zote sasa leteni wazimu wenu muone.
Innailaihi wainnalilah rajiun
 
Back
Top Bottom