Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hizi Races

Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hizi Races

Punguza hasira..wewe unayeijua hiyo dini mbona upo nasi humu jf kwa sisi ambao hatuijui hiyo dini..punguza ulimbukeni.

#MaendeleoHayanaChama
Sasa ukiambiwa ukweli unatakiwa uukubali kisha uufanyie kazi.

Lazima niwe na hasira sababu uongo na ujinga mnao ueneza humu athari yake ni kubwa mno. Bora mngekuwa mnasoma kwanza kisha mnaandika haya mnayo yaandika.

Kuwepo kwangu ni kwa ajili ya kuwazindua wajinga kama nyinyi na mnao jifanya wajuaji. Hoja yako iko wapi ?

Ulimbukeni uko mbali na mimi sababu naandika ukweli na nina weka kila kitu mahala pake.
 
1. Mfano wa Unyama ni kumuua mwanadamu mwenzako kwa vile hamuabudu Mungu wako.
Sasa kitendo hiki kina uhusiano gani na dini ? Kwanini umekigemeza na dini fulani ?
2. Kuna uhalali wowote wa kumuua mwenzako kisa hamuabudu mungu wako ?
Sasa kuna sheria gani katika Uislamu inayosema mtu kama hamuabudu Allah auawe ? Sasa kwanini haya matendo mnayanasibisha na Uislamu ?

Sababu uhalali ni kufaa kwa jambo kwa mujibu wa dini ya Uislamu.
 
Sasa kitendo hiki kina uhusiano gani na dini ? Kwanini umekigemeza na dini fulani ?
Sasa kuna sheria gani katika Uislamu inayosema mtu kama hamuabudu Allah auawe ? Sasa kwanini haya matendo mnayanasibisha na Uislamu ?

Sababu uhalali ni kufaa kwa jambo kwa mujibu wa dini ya Uislamu.
Maelekezo yapo wazi kabisa.

Sura 9:14

Sura 9:29

Al bukhari Vl 4:196.......

Sheria ya kiislamu inahitaji asiyemuislamu kulipa penalty tax , ama sivyo ale kisago.

Njoo hapa ujibu sasa.
 
Kwanza ninaomba nipewe uwanja wa kupangua moja badala ya moja zee zima akili zero ndo maana nikakwambia wajinga pia huzeeka.

👇

Quran 33:50 "Prophet, We have made lawful to you the wives to whom you have granted dowries and the slave girls whom God has given you as booty."
Hapa Allah anamwambia mtume kuwa watumwa wa kike alio nao (kama yule Mariyah) ni haki yake Kuwala/kuwabaka.


Naanza hyo hapo juu kiruu tulia

Tumewahalilishia mwanamke kuwa wake zenu kwa kuwalipia mahali au baada ya kuwalipia mahali na watumwa wasichana ambao hali kuwaingilia .Nafsiri kwa context ni kwamba kuna Wana wa aina mbili wale waliolipiwa mahali na watumwa wawe miongoni mwa wake zenu ... Kwa nn watumwa kipindi kile watumwa hawakuwa na haki ya kuolewa kwani utamlipia mahari kwa Nan uislamu ukitaka watumwa waolewe bure kabisa hii yote ni stage ya kuwatoa kweny utumwa mpaka kuwa mke.. ndo maana wakasema wawe wake zenu kwanza means Kuna ndoa ndo kuhalallishiwa kuwaingilia.

Ukisoma kingereza zaidi kwa uelew utajua hapo wives ambao Kuna subject mbili moja ambao wamelipiwa mahali na wingine ni hao watumwa.


Elew nn naandika sio unakimbilia kukariri shule ulikimbia


Kuna swali ? Nipangue nyingine
Randy orton
 
Maelekezo yapo wazi kabisa.

Sura 9:14

Sura 9:29

Al bukhari Vl 4:196.......

Sheria ya kiislamu inahitaji asiyemuislamu kulipa penalty tax , ama sivyo ale kisago.

Njoo hapa ujibu sasa.

Safi kabisa, hapa ndipo napopataka. Rejea mfano wa mwanzo. Aya ziko wazi sana, aya zinaongelea katika dola ya Kiislamu, dola ambayo inatawala kwa sheria za kiislamu, endapo Mkristo akitaka kuishi humo lazima atoe kodi au awe muislamu kwa hiari yake. Hii ndiyo sheria.

Sasa tukirudi katika mfano wako wa mwanzo ni mfano mfu, mfano ambao umemili katika matendo wanayo yafanya baadhi ya wanao jiita au kudai kuwa ni Waislamu. Jambo ambalo sheria iko dhidi yao.

Kwahiyo sasa ili uwe sahihi ulitakiwa useme hayo niliyo yasema mimi na si unaandika mambo kwa ujumla wakati yanataka ufafanuzi.
 
. Aya ziko wazi sana, aya zinaongelea katika dola ya Kiislamu, dola ambayo inatawala kwa sheria za kiislamu, endapo Mkristo akitaka kuishi humo lazima atoe kodi au awe muislamu kwa hiari yake. Hii ndiyo sheria.
Muhammad alisema Islam maana yake sio kuamini ni kujisalimiaha , surrender
Aliweka wazi kabisa muislamu akimkuta mkristo njiani asimsalimie na amtumbukize mtaroni , alivyo ona hana pesa akaanzisha jizya yani uabudu Mungu wako ila umlipe kwa kuabudu Mungu wako
 
Huwa nawaona hamna akili watu nyinyi. Kwanini nasema haya ? Sababu mnafikiria kama wanyama au watoto wadogo.
Muhammad alivyo piga machine binadamu mwenye miaka 6 alikuwa anafikiria kitoto au na yeye alikuwa mtoto?
 
Back
Top Bottom